Kaka utafiti shkamoo,naomba nitafsirie
Marahaba mdogo wangu hujambo? Hapo anasema, maji na bleach (bleach kwa kiswahili sijui nini ila tukisema "jik" utaelewa?) vitu hivi ukichanganya kwenye chupa nakuweka juu kwenye bati, (kama kwenye picha) inatoa mwanga kwa ndani (ni mwanga wa jua) ni kama umeme