Unasemaje kuhusu hii Picha?

Unasemaje kuhusu hii Picha?

kweli kuna utofauti mkubwa sana kati ya tajiri na maskini dunia hiii..! manake hawa madogo hawajui hata watapata wapi chakula..! lakini hawa waarabu hata hicho chakula hawatakimaliza..! kingine kitamwagwa ila kuna watu ambao hawajui.. yani hawajui narudia tena hawajui kuwa watapata wapi chakula..! Mungu atusaidie jamani...
amen.
 
wakati unapotaka kumwaga chakula nyumbani ....think of people like these
 
super markets sell dog food while children starve..whose world is this?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom