Unasemaje kuhusu hii Picha?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,083
425362_286940701366983_254860864574967_759353_1428550111_n.jpg
421466_286927681368285_254860864574967_759337_1513525118_n.jpg


Hebu toa mawazo yako kuhusu hizi picha?
 
picha ya kwanza wamekonda kwa njaa kali,ya pili wako harusini na yatatu mtoto anakula chakula kilichoko chini...
 
This is too much!

Ndugu,

Picha 1: Bwana ndogo amembeba ndogo wake japo haonyeshi kama ana nguvu za kumbeba kwa muda mrefu kwa sababu ya njaa
Picha 2: Washiriki wamekula, wamesaza ila wanasubiri watumishi kwenda kumwaga
Picha 3: Njaa kali sana si kwamba anakula chakula kilichotupwa ila anakula chakula kilichotoka tumboni mwake kupitia njia ya nyuma.

NB: Pale ambapo utakuwa unakula na unashiba au unatupa au unampa mtoto chakula anakataa kumbuka picha hizi. Fikilia siku zijazo hali inakuwa hivyo kwako, ..... Tafadhali weka akiba pamoja na kwamba uchumi umevulugika
 
Ataelewa kivipi mkuu hebu tufahamishe

Akienda kwa huyu dogo, akimsikiliza kwa makini akawasikiliza wazazi wake kwa makini, akimsikia kuomba wake kwa makini, akimsikia mwalimu wake na wengineo wa aina hiyo hakika atajua fika tatizo la Tanzania ni nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom