UNASEMAJE KUHUSU HII PICHA YANGU YA LEo?

UNASEMAJE KUHUSU HII PICHA YANGU YA LEo?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
735165_462007020525024_2000707689_n.jpg
 
Wakati wengine wanakula na kutupa chakula wengine wanakufa na njaa!inasikitisha
 
Picha inasikitisha,ewe Mola wafanyie wepesi wale wote walio katika hali ngumu ya kujikimu kimaisha.
Nalog off
 
Huyo Mpiga picha mburula kabisa.

Badala ya kusadia maziko hata atoe vest/t-shirt yake iwe sanda ye anapiga picha ambayo hampi huyo mama.

in short mpiga picha ni selfish na hana utu ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom