Unasemaje kuhusu hii picha ya leo?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
unasaemaje kuhsu hii picha.jpg
 
Huyu dada yaelekea yuko na mtu, ambae ndie ameenda kulipa.

Yeye dada ameamua kusubiria, huku aking'aa ng'aa macho hapo karibu na masanamu.

Anakijua anachokifanya
 
Kumbe midoli hahaaaa

Ila inachanganya kiukweli assume ndo ile ya kike...

Pole yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom