Ila Mbona Skuiz Simu Nyingi Zinatengeneza wifi??? kama Androids Nyingi Ndo Huitaji Hata Kuta Third Part Application.... na Speed Ya Kuridhisha Tuuu!!! japo Androids Nyingi Za Kichina Hazinaga Hii Feature

Ila ikizingatia devices unazotakiwa kuwa nazo ndipo penye tatizo,hasa kwa wengi wetu.
Mimi binafsi sihitaji kuwa na phone kwa ajili ya kugenerate Wifi kwa matumizi ya tablet,wakati tayari hapa nilipo nina laptop na modem.
Kwa matumizi yangu(na pengine na walio wengi) nahitaji kimojawapo kati ya tablet au smartphone hasa ninapokuwa nje na nyumbani.So,kuichumi haina maana sana kununua smartphone kwa ajili ya kugenerate wifi kwa tablet! Na hapa ndipo penye msingi wa hitaji la tablet yenye uwezo wa kuingia SIM card tena GSM kwa huku kwetu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.