Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,489
- 40,507
Ukiwa uko kwenye mchakato wa kuanzisha mahusiano, na ikatokea mmoja wenu anakuuliza unafanya kazi gani? Moja kwa moja jua huyo anataka uhusiano wenye faida hasa wa kipesa na si mahusiano ya shida na raha.
Ni vizuri zaidi unapotafuta mwenzi wa maisha hata kama kiuchumi uko vizuri jaribu kuwa kama choka mbaya ili uweze kumpata mtu sahihi lasivyo utapendewa vitu vyako na hivyo vitu vikiisha kunakuwa hakuna mapenzi tena.