Unapoulizwa swali hili kwenye mahusiano "Unafanya kazi gani?"

Eeh makubwa haya..chupi inapandisha nyege!!🙄
Ila ndiyo kazi yake
Si unajua lugha ya picha, picha inaenda kusomeka kwenye ubongo...na ubongo unatafsiri,ukishatafsiri unaathiri baadhi ya maeneo. Ila ukweli nyie mabinti mnapenda watu wenye hadhi...utajaribu kujitetea hapa ila ukweli unabaki palepale.
 
Si unajua lugha ya picha, picha inaenda kusomeka kwenye ubongo...na ubongo unatafsiri,ukishatafsiri unaathiri baadhi ya maeneo. Ila ukweli nyie mabinti mnapenda watu wenye hadhi...utajaribu kujitetea hapa ila ukweli unabaki palepale.
Ila ukweli maana muuza chupi wangu kwangu anahadhi eti..tena kuubwaaa.
 
We mdanganye tu unapiga mishe zako akikadhania mishe gani hapo sasa huyo mpigaji we mwambie tu mfanya biashara yaani mpoteze mpoteze


Kama unampenda sio tamaa zako we mwambie tu kazi yako kama ni mcheza forex we unamwambia tu kama unabet unasema tu
 
Ukiwa uko kwenye mchakato wa kuanzisha mahusiano, na ikatokea mmoja wenu anakuuliza unafanya kazi gani? Moja kwa moja jua huyo anataka uhusiano wenye faida hasa wa kipesa na si mahusiano ya shida na raha.

Ni vizuri zaidi unapotafuta mwenzi wa maisha hata kama kiuchumi uko vizuri jaribu kuwa kama choka mbaya ili uweze kumpata mtu sahihi lasivyo utapendewa vitu vyako na hivyo vitu vikiisha kunakuwa hakuna mapenzi tena.
Tafuta hela kwanza bila hivo utakua na mahusiano ya shida shida tu.labda mwanamke akupende sana
 
Kuna demu nilimdanganya mimi ni pot na nimekuja likizo duu sitasahau yani nina bahati upande wangu kwa sababu yule dem alihamia mkoa mwingine, hivi hivi kidume ningeumbuka angejiuliza mbona likizo yangu imeisha na bado nimeng'ang'ania kitaa na nilimwambia ya miezi mitatu.
 
Sidhani kama hilo swali ni baya, mimi huwa nauliza atleast nijue isijekua ni jambazi au unafanya kazi zisizo halali.

Pia kujua mtu anafanya nini ni vizuri ikiwa mna lengo la kuwa na serious relationship,kuna familia na watoto baadaye, mtawalisha nini ikiwa mume ndyo hivo hana plans, jobless na hajitumi?, tuache masikhara pesa hata kidogo ni muhimu jamani.
 
Back
Top Bottom