Unapoulizwa swali hili kwenye mahusiano "Unafanya kazi gani?"

Ya kizamani hiyo! Dunia imechange tusikariri, so umejuana na mtu mnataka kuanzisha mahusiano yeye akupe profile yake alafu we ufiche yako ili asikuone resourceful....maajabu haya! Ni mindset za kimaskini.
 
ha ha ha kumbe unampendea kazi kwanza mapenzi ndio yafuate!
 
Ya kizamani hiyo! Dunia imechange tusikariri, so umejuana na mtu mnataka kuanzisha mahusiano yeye akupe profile yake alafu we ufiche yako ili asikuone resourceful....maajabu haya! Ni mindset za kimaskini.
Kwa mtizamo huu,nyie ndio mnao-oa/kuolewa kutokana na kazi ya mtu
 
Mie kuna mwanachuo mmoja nimeshamtafuna mara moja sasa juzi ndo kanitext eti "hubby eti unafanya kazi gani?"
Nikamjibu nauzaga majeneza tangu hapo nikipiga simu hapokei wala hajibu text zangu nadhani labda yuko busy kujisomea maana ndo wamefungua vyuo hivi karibuni
 
Ha ha ha ha ha
 
Sio wadada tu hata wewe man kuna wakati unaweza kuhitaji kumfaham vizuri mpenzi wako.. Kama unakutana na demu mkali halafu anakwambia hana kazi yoyote yupo tu nyumbani kwao choka mbaya lakini yeye ni mtu wa kutupia vitu vikali.. Kama anajiuza je? Au ana madanga yake yanayombeba mjini ! Nadhani mwanaume anapaswa kujua pia
Transparency ni kitu poa kwa relationship, nadhani Wadada wapo sawa kuuliza hivo.
 
Sidhani kama mtu akiuliza hivyo anatamani pesa zako pengine anataka kukujua tu na hapa ndio pana shida kwani wengi hudanganya na mwishowe kuumbuka
ha ha ha kuna jamaa mmoja nilimcheki kweye mtandao,binti yuko Tanzania wanajaribu kufahamiana na mwanaume fulani;binti akauliza unafanya kazi gani,jamaa akamwambia kwa sasa nafanya kazi fulani hapa Dubai; binti akaonyesha tabasamu kali kweli huku akiongea kwa sauti ya kubembeleza...hapo ilipendewa kazi tu.
 
Back
Top Bottom