Unapopita maeneo ya kambi ya Jeshi!!

Unapopita maeneo ya kambi ya Jeshi!!

Kwa hiyo unataka kusema wanajeshi na familia zao hawana simu!? Au mawasiliano wawapo jeshini?
 
Kwa hiyo unataka kusema wanajeshi na familia zao hawana simu!? Au mawasiliano wawapo jeshini?

mkuu ungeisoma vizuri thread sidhani kama ungeuliza swali kama hili,.. Jaribu kuisoma kwa mara nyingine
 
Habari zenu wakuu,..

Mara nyingi nimekuwa nikikatiza maeneo ya jeshi ninapoelekea mjini au ninaporudi nyumbani,.

Wakati ninapoingia maeneo haya ya jeshi mtandao au network ya simu yangu ya mkononi huwa inasumbua sana lakini tukishapita eneo hili la kambi ya Jeshi mtandao hurejea tena hewani kama kawaida!!

Kwa wenye uelewa wa hii hali tafadhali tujuzeni hii hali inasababishwa na kitu gani!!


Eneo nilipoiona hii hali ni kambi ya Jeshi LUGALO MILLITARY BASE!!!

Hakuna kitu kama hicho... Shida ni kwamba we unatumia simu feki[mchina].
 
Hakuna kitu kama hicho... Shida ni kwamba we unatumia simu feki[mchina].

hongera yako wewe usiyetumia mchina ila nakushauri na wewe ufanye hili jaribio alafu urudi hapa jamvini kutupa mrejesho,.

Mkuu umetoa majibu mepesi sana na kwa taarifa yako China hawatengenezi vitu feki tu, hata Original wanatengeneza!!
 
duh, kwa maana hiyo Jf pasiulizwe swali ama!! Labda sijakuelewa mkuu

ok fanya hivi.njoo mpaka geti kuu la kuingia kambi ya lugalo.ukifika getini niulizie kwa jina la ....kadoda.watanipigia simu na nitakuja kukupa majibu ya maswali yako yote.
 
ok fanya hivi.njoo mpaka geti kuu la kuingia kambi ya lugalo.ukifika getini niulizie kwa jina la ....kadoda.watanipigia simu na nitakuja kukupa majibu ya maswali yako yote.

Utakuwa umefanya kitendo cha kizalendo kama utatoa majibu hapahapa jamvini kwa faida ya watu wote mkuu!!

Tunashukuru kwa utayari wako,.
 
mh! Mimi nilikuwa nakatisha kambini lakini hakuna chochote kama hicho! Uoga wako tu mkuu!
 
usalama unahusiana vipi na kukatika kwa mawasiliano mkuu,.


Ina maana jeshini hamna ulinzi mpaka watukatie mawasiliano??
jiulize kwanini alipokuja rais obama mawasiliano ya kimtandao yalikuwa yanasumbua??????
 
JIBU MASWALI HAYA MARA MOJA:

1:Unataka kujua kinacho sababisha ili ufanye nini?

2: Je ni lazima upige simu ukiwa eneo hilo tu au waweza kupiga simu kabla ya kufika eneo hilo na baada ya kupita hilo eneo?

3: Je ulisha wahi kuwauliza wakazi wa eneo hilo (Wanajeshi) kuhusu jambo hilo na walikujibu nini?

Namalizia kwa kusema - Huna uzalendo na nchi yako, mtandao huu unapitiwa na watu wa aina tofauti na wenye nia tofauti na nchi yako, sasa wewe unataka kutoa siri za Jeshi lako hapa Jamvini?


Naunga mkono hoja mkuu. Unajua hawa vjana shule za kata ( BRN) ndio maana wameongezewa div5 wanashangilia wasifahamu kuwa hiyo ni div0 pia. Ni wavivu kufikiri hawatumii akili za asili. Shida tupu.
 
Naunga mkono hoja mkuu. Unajua hawa vjana shule za kata ( BRN) ndio maana wameongezewa div5 wanashangilia wasifahamu kuwa hiyo ni div0 pia. Ni wavivu kufikiri hawatumii akili za asili. Shida tupu.

fikiria mkuu, utupatie majibu!!
 
Kuna ile rada aliyenunua mkapa wazungu wakaludisha chenji.huwa aishiki network ya cm labda utumie cm ya 4G lakini ya kitochi itakusumbua
 
Si afadhali wewe mpaka upite kambini, mimi nikipishana na hao jamaa lazima network ikate, sijui kwanini!
 
Usalama unahusiana vipi na kukatika kwa mawasiliano mkuu,.


Ina maana Jeshini hamna ulinzi mpaka watukatie mawasiliano??
hiyo kukukatia mawasiliano ni ulinzi tosha ,unataka ulinzi upi?
 
labda utakuwa unatumia simu ya mchina,mbona mie napitaga hapo daily nasioni hilo tatizo la mawasiliano
 
Back
Top Bottom