Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,507
kunakua na kifaa ambacho kinazuia mawasiliano ya simu kwa kurusha signal sawa na zile freguency za kwenye simu lakini at a high power kiasi cha kwamba signal au mawimbi toka kwenye kifaa hicho na yale toka kwenye simu yana collide(yanagongana) na hivyo kujicancel.mkuu huenda point yako ikawa ya msingi sana ila lugha uliyoitumia inawapiga chenga watu wengi, hasa sisi wa kayumba Big Results Now!!