Unapopewa kazi ya kuandika Insha ya maneno 120 mambo gani unapaswa kuzingatia?

brave Mwafrika

JF-Expert Member
May 2, 2019
213
109
Mimi ni mwanafunzi wa kadato cha pili nauliza unapopewa swali la kuandika insha Kama ya watoto wa mitaani kwa maneno yaaiyo zidi 120, mambo yapi ya kuzingatia katika uandishi🙏
 
Kijana umejaribu kupitia notes vizuri?, kama bado nakushauri kwa moyo mkunjufu tupa hiyo smartphone na upige kitabu.

If it involves your future never let others struggle on your behalf. You are too young to be that bossy .

🐜
 
Mimi ni mwanafunzi wa kadato cha pili nauliza unapopewa swali la kuandika insha Kama ya watoto wa mitaani kwa maneno yaaiyo zidi 120, mambo yapi ya kuzingatia katika uandishi
Ongeza juhudi na bidii bado uko mbali dogo. Usipende kila kitu kutafuniwa hangaika kwanza
 
120 gawanya mara tatu = 60

1. intro = 60
2. Main=60
3.Conclusion=60
😂😂😂😂😂😂😂,
Nakutania tu , Amka kijana, safari bado ni ndefu,
Je ukifikia level ya kuambiwa uandike project ya maneno 10,000 itakuwaje....
 
Back
Top Bottom