Unapopendwa na mtu sahihi

Unapopendwa na mtu sahihi

Joined
Jul 27, 2018
Posts
11
Reaction score
3
UNCONDITIONAL LOVE
IMG_20180727_065805_743.jpg
 
hakika babe na vile uko zaidi ya hivo nakupenda mm
halafu chakula kikiiva mara unasema unataka miguu ya kuku wakat hiko chakula kilichopikwa hapo ulikidai aisee za uso zitahusika babe
 
Mie na kupigwa pigwa nilivyo sipendi usinipige bwana huo ndio wakat ntakudekea kuliko nyakat zingine zozote zile jiandae

ntakudunda tu babe hata kwa kanga.....ntakudekeza beb mpaka upaliwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom