Unapomuoa changudoa kwa ndoa ya Kanisani anatakasika?

Mwulize TRUMP maana mke wake alikuwa changu kabla ya yeye kumwopoa katika uchangu wake na yeye akiwa mteja wake wa mara kwa mara. baada ya kunogewa akaamua kumchukua jumla jumla.
Hahaha wote wake zetu hupitia huko, sema ukiwa maarufu mambo yako huanikwa hadharani.
Akiwa kwako wako, kabla ya hapo alikuwa mali ya umma.
Bibi alikuwa akiniambia wanawake ni kama viazi hata mwenye mapengo anaweza kula.
 
kabisa. kwa hiyo jamaa aliyeleta mada asihofu. Akimfikisha ndani anawez kutulia kabisa na anakuwa mke mzuri tu.
 
kabisa. kwa hiyo jamaa aliyeleta mada asihofu. Akimfikisha ndani anawez kutulia kabisa na anakuwa mke mzuri tu.
Hata huko barabarani wametulia sana. Ila nduo tunawaita mapepo, sijui malaya. Tukiwaoa makanisani wanatakasika au wanabaki walivyo.
 
Eti ukimuoa changudoa/dada poa, kwa ndoa ya kanisani anatakasika?! Huwa nasikia story yule dada mchafu sana, au ana mapepo, lakini wanaolewa na kua wake wema na kuwa na familia nzuri tu.

Je, ndoa hutakasa au kanisa huosha ule uchafu na kuutakasa?!

Vtangudoa wote uolewa na wanakuja wapya, wale magwiji wameolewa wote. Nilitembelea mitaa fulani nikaulizia wale niliowafahamu waliniita mteja wao zamani, nilimkuta mmija alikywa mdoogo enzi hizo, akaniambia wale wazamani wameshaolewa wote siku hizi wapo wapya.

Je, inakuwaje wakiolewa huu uchangudoa unawaisha?! Ni vipi wanasahau walichokifanya huko zamani?!

Vipi kuhusu WANAUME wanaonunua K, nao wakioa ndoa zao zinatakasika?
 
Back
Top Bottom