Unapomsaidia rafikiyo mbumbumbu!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
1453644731840.jpg
 
Aiesee umenichekesha kuliko kawaida, kweli JF ni zaidi ya burudani, stress zote znaisha aiesee
 
hahahah dah imenikumbusha kukopiana kwenye mitihani ya kifaransa...enzi za chuo ilikua zaidi ya hapa....somo lilikua gumu hadi unaeza ukajikuta umekopi jina la mwenzio..
 
Hatari sana. Mwanzoni nilijua kutoa macho tu, dah! Kuchora na vidole kabisa... Hahahaaaah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom