Unapokosea step kwenye kumpata mwana ndoa

Unapokosea step kwenye kumpata mwana ndoa

Watu wanabadiriki na tabia ni dynamic variable kunafactor nyingi zinachangia mtu kubadirika hakuna anayekosea tangu mwanzo labda mwendawazimu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan mwanamke kumgundua ni rahisi sanaaaa sana, huyo baba alishindwa kuusoma mchezo japo najua aliusoma ila alitegemea mabadiliko

Naamini kuna watu pia walimwambia ila alidharau
Hahahah hii ipo sana, sema ndio hivyo viumbe walioongea na shetani Eden ni kisanga!
 
Hatari ila kuuguza kweli anamoyo

"They may forget what you said, but they will never forget how you made them feel.”
 
Back
Top Bottom