Unapokosea step kwenye kumpata mwana ndoa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,425
Tukiwa wadogo mmoja wa majirani zetu alikuwa mtu mzito serikalini, enzi zile nilisikia alisomea shahada yake ya uchumi Makerere Uganda.

Alikuwa na mke mrembo sana, nilisikia pia wakati akiwa chuoni huko Uganda, akirudi likizo na kumpa ujauzito binti mmoja kijijini kwao. Wazazi wa yule binti walimsusa mtoto wao kwa wazazi wa bwana yule. Hivyo alivyohitumu masomo alikabidhiwa mke.

Sasa wakati ule wa ujenzi wa makao makuu Dodoma yule Baba ndiyo wana uchumi waliokuwa wanaaminiwa na kupelekwa Dodoma. Familia ilibaki Dar. Kwakweli yule mama staha hakuwa nazo. Alikuwa mlevi mbwa, tofauti na heshima ya yule mzee aliyokuwa nayo.

Kule Dodoma mzee alitengeneza pesa sana. Lakini kwa kanuni za uongozi alishindwa kuanzisha miradi. Alianzisha biashara kubwa kwa jina la mkewe. Yule mama alishika pesa nyingi sana. Baba alipostaafu mkewe alimwambia huna chako hapa kila kitu ni mali yangu.

Yule mama alipata kijana kutoka nchi jirani alimuoa na kuondoka na mali yote. Alirudi akiwa mahututi baada ya kuambukizwa HIV na wakati huo ilishafikia kwenye AIDS.

Yule baba alimuuguza kwakua alikuwa mstaarabu. Mwisho wa yote alifariki.

Unapokosea kutafuta mwenza ni majanga.
 
Sasa wakati ule wa ujenzi wa malaika makula Dodoma yule Baba ndiyo wana uchumi waliokuwa wanaaminiwa na kupelekwa Dodoma. Familia ilibaki Dar. Kwakweli yule mama staha hakuwa nazo. Alikuwa mlevi mbwa, tofauti na heshima ya yule mzee aliyokuwa nayo.

Kule Dodoma mzee alitengeneza pesa sana. Lakini kwa mifuko ya uongozi alishindwa kuanzisha miradi. Alianzisha biashara kubwa kwa jina la mkewe. Yule mama alishika pesa nyingi sana. Baba alipostaafu mkewe alimwambia huna chako hapa kila kitu ni mali yangu.

Yule mama alipata kijana kutoka nchi jirani alimuoa na kuondoka na mali yote. Alirudi akiwa mahututi baada ya kuambukizwa HIV na wakati huo ilishafikia kwenye AIDS.

Yule baba alimuuguza kwakua alikuwa mstaarabu. Mwisho wa yote alifariki.

Unapokosea kutafuta mwenza ni majanga.
ndio maisha...ajali zipo za aina nyingi, wengine ndio kama hivyo wanaangukia kwa watu wasio sahihi.

Good morning Sky Eclat [emoji4]
 
Tukiwa wadogo mmoja wa majirani zetu alikuwa mtu mzito serikalini, enzi zile nilisikia alisomea shahada yake ya uchumi Makerere Uganda.

Alikuwa na mke mrembo sana, nilisikia pia wakati akiwa chuoni huko Uganda, akirudi likizo na kumpa ujauzito binti mmoja kijijini kwao. Wazazi wa yule binti walimsusa mtoto wao kwa wazazi wa bwana yule. Hivyo alivyohitumu masomo alikabidhiwa mke.

Sasa wakati ule wa ujenzi wa makao makuu Dodoma yule Baba ndiyo wana uchumi waliokuwa wanaaminiwa na kupelekwa Dodoma. Familia ilibaki Dar. Kwakweli yule mama staha hakuwa nazo. Alikuwa mlevi mbwa, tofauti na heshima ya yule mzee aliyokuwa nayo.

Kule Dodoma mzee alitengeneza pesa sana. Lakini kwa mifuko ya uongozi alishindwa kuanzisha miradi. Alianzisha biashara kubwa kwa jina la mkewe. Yule mama alishika pesa nyingi sana. Baba alipostaafu mkewe alimwambia huna chako hapa kila kitu ni mali yangu.

Yule mama alipata kijana kutoka nchi jirani alimuoa na kuondoka na mali yote. Alirudi akiwa mahututi baada ya kuambukizwa HIV na wakati huo ilishafikia kwenye AIDS.

Yule baba alimuuguza kwakua alikuwa mstaarabu. Mwisho wa yote alifariki.

Unapokosea kutafuta mwenza ni majanga.
Kufanikisha mwenza sahihi ni kudra za mwenyezi Mungu.....binaadamu 'are not static' bina adamu hubadilika kadiri anavobadiri mazingira, kubwa nikumshirikisha sana Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwa wadogo mmoja wa majirani zetu alikuwa mtu mzito serikalini, enzi zile nilisikia alisomea shahada yake ya uchumi Makerere Uganda.

Alikuwa na mke mrembo sana, nilisikia pia wakati akiwa chuoni huko Uganda, akirudi likizo na kumpa ujauzito binti mmoja kijijini kwao. Wazazi wa yule binti walimsusa mtoto wao kwa wazazi wa bwana yule. Hivyo alivyohitumu masomo alikabidhiwa mke.

Sasa wakati ule wa ujenzi wa makao makuu Dodoma yule Baba ndiyo wana uchumi waliokuwa wanaaminiwa na kupelekwa Dodoma. Familia ilibaki Dar. Kwakweli yule mama staha hakuwa nazo. Alikuwa mlevi mbwa, tofauti na heshima ya yule mzee aliyokuwa nayo.

Kule Dodoma mzee alitengeneza pesa sana. Lakini kwa mifuko ya uongozi alishindwa kuanzisha miradi. Alianzisha biashara kubwa kwa jina la mkewe. Yule mama alishika pesa nyingi sana. Baba alipostaafu mkewe alimwambia huna chako hapa kila kitu ni mali yangu.

Yule mama alipata kijana kutoka nchi jirani alimuoa na kuondoka na mali yote. Alirudi akiwa mahututi baada ya kuambukizwa HIV na wakati huo ilishafikia kwenye AIDS.

Yule baba alimuuguza kwakua alikuwa mstaarabu. Mwisho wa yote alifariki.

Unapokosea kutafuta mwenza ni majanga.
Story imenigusa
 
Tukiwa wadogo mmoja wa majirani zetu alikuwa mtu mzito serikalini, enzi zile nilisikia alisomea shahada yake ya uchumi Makerere Uganda.

Alikuwa na mke mrembo sana, nilisikia pia wakati akiwa chuoni huko Uganda, akirudi likizo na kumpa ujauzito binti mmoja kijijini kwao. Wazazi wa yule binti walimsusa mtoto wao kwa wazazi wa bwana yule. Hivyo alivyohitumu masomo alikabidhiwa mke.

Sasa wakati ule wa ujenzi wa makao makuu Dodoma yule Baba ndiyo wana uchumi waliokuwa wanaaminiwa na kupelekwa Dodoma. Familia ilibaki Dar. Kwakweli yule mama staha hakuwa nazo. Alikuwa mlevi mbwa, tofauti na heshima ya yule mzee aliyokuwa nayo.

Kule Dodoma mzee alitengeneza pesa sana. Lakini kwa kanuni za uongozi alishindwa kuanzisha miradi. Alianzisha biashara kubwa kwa jina la mkewe. Yule mama alishika pesa nyingi sana. Baba alipostaafu mkewe alimwambia huna chako hapa kila kitu ni mali yangu.

Yule mama alipata kijana kutoka nchi jirani alimuoa na kuondoka na mali yote. Alirudi akiwa mahututi baada ya kuambukizwa HIV na wakati huo ilishafikia kwenye AIDS.

Yule baba alimuuguza kwakua alikuwa mstaarabu. Mwisho wa yote alifariki.

Unapokosea kutafuta mwenza ni majanga.
WHEN ANGEL MARRIES THE DEVIL, THE DEVIL CAN NEVER MAKE ANGELIC THINGS, HE/SHE WILL ALWAYS BID TO HIS ACTS.
 
Kipendacho roho..

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
WHEN ANGEL MARRIES THE DEVIL, THE DEVIL CAN NEVER MAKE ANGELIC THINGS, HE/SHE WILL ALWAYS BID TO HIS ACTS.
Absolutely right.....Ila tufikie mahara wazazi tu washirikishe 100% watusaidie katika kuchagua 'right families' za kutowa mwenza.....some families are cursed with no lacky full of devil's habits

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na yule binti aliyekuwa amepewa mimba kule kijijini aliishia wapi?
 
dada sky siku zingine unapoint sana lakini ujue tatizo kubwa kuhusu suala hili ni kwamba nyie kinadada ndiyo mnaotuangusha hamchelewi kubadirika tofauti na wanaume tunajitahidi sana kuwahandle with care lakini wapi unaweza kumnunulia gari mwana mke mafuta unamuwekea kila siku lakini anaweza akampa lift mwanaume akamsifia tu amependeza yuko vizuri jamaa anaenda kula mzigo kweli tena sijui mkoje
 
Yaan mwanamke kumgundua ni rahisi sanaaaa sana, huyo baba alishindwa kuusoma mchezo japo najua aliusoma ila alitegemea mabadiliko

Naamini kuna watu pia walimwambia ila alidharau
 
Back
Top Bottom