Unapogundua mumeo anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na mwanaume mwenzake

Wamelaaniwa wafiraji na ******* wote. wamelaaniwa wanawake wanaokubali kufanyiwa kinyume cha maumbile.
 
yaani kuna vituko chini ya hili jua bac tu, imagine 7 yrs imepita ndio unakuja kujua hiki kinyaa kilichokuwa kinafanyika....pwehhh

Hii ni kali ya mwaka. Yaani mke akagombee mume na mwanaume mwingine (shoga).
Huko mke ajiondokee zake asap! Inawezekana huyo mume ana mengine ya ajabu zaidi ya hayo
 
Ndio maan kuna ndoa za mashoga kujaribu kupunguza tatizo hilo,kuna mashoga hawana mapenzi na wanawake na inabidi tuu awe na mwanamke kwa ajili ya kupata status, matokeo yake ndio hayo ina bidi afanye apendacho kisiri ili abaki na heshima. Wanawake wengi wameolewa na wanaume wanaofanya tendo hilo na wanaume wenzao, ila wengi hawatambui tuu
 
Ukiachilia mbali huo ufirauni wake....

Ambacho kingenifanya niondoke hata kesho yake ni hilo jibu alilojibu.. Tena pasipo kujali.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kaunga hebu njoo nipe pwenti hapa!mi nakuaminia ujue!
 
Last edited by a moderator:
Alishapata basha likapopoa bikira yake kama vile linapopoa maembe mabichi kwa matofali. Akaja kulalamika hapa kwa maumivu. Anaongelea uzoefu hapo alipo, muambie snowhite ariraksi. She(mple sana) is well taken care of!
my dear snowhite, huyo Mpole sana sina hata cha kumwambia, maana yuko kiutafutaji zaidi; sijui kwanini mpaka sasa hajapata Basha la kumchokonoa kinyeo chake!
 
Last edited by a moderator:
my dear snowhite, huyo Mpole sana sina hata cha kumwambia, maana yuko kiutafutaji zaidi; sijui kwanini mpaka sasa hajapata Basha la kumchokonoa kinyeo chake!

mh!the sweet kaunga of mine is getting out of the cup now!please heeeelp! The Boss na we siku hizi sijui umekamatwa wapi yailahi!hebu kuja huku bana!mi nashindwa kumshika mama mchungaji ujue!
 
Last edited by a moderator:
Alishapata basha likapopoa bikira yake kama vile linapopoa maembe mabichi kwa matofali. Akaja kulalamika hapa kwa maumivu. Anaongelea uzoefu hapo alipo, muambie snowhite ariraksi. She(mpole sana) is well taken care of!
ATI!
af na wewe bana! ina maana ushamuweka kwenye kundi la kugombea lile gauni jeupe hata kama halitutoshi kwa sababu ya hizi HIPSI NA KITAMBI?
 
ATI!
af na wewe bana! ina maana ushamuweka kwenye kundi la kugombea lile gauni jeupe hata kama halitutoshi kwa sababu ya hizi HIPSI NA KITAMBI?

Nyie mchokozeni tu shoga wa watu, mimi simoo! LOL
 
Alishapata basha likapopoa bikira yake kama vile linapopoa maembe mabichi kwa matofali. Akaja kulalamika hapa kwa maumivu. Anaongelea uzoefu hapo alipo, muambie snowhite ariraksi. She(mple sana) is well taken care of!

Unajua nini, wadada wengi wana mapouzi ya kulalamikia kuumizwa; so sishangai naye kulalamikia kuwa jamaa alikuwa na limdudu kubwa na akamuumiza kwa kupump bila mafeelings.
 
Unajua nini, wadada wengi wana mapouzi ya kulalamikia kuumizwa; so sishangai naye kulalamikia kuwa jamaa alikuwa na limdudu kubwa na akamuumiza kwa kupump bila mafeelings.
kuna siku ukianza siku na chimpumu unakuwa hufai kabisa yailahi loh!ahahahahhahahhahahahhahahhahahhaha duh!
 
Nina mfahamu jamaa ambaye ameoa na kumbe naye alikuwa wa hvyo,kumbe hata wao inawaumiza hawana jinsi,uzuri ye alipata safari ya kikazi france kule akaonana na daktari akampa dawa za homon ile hamu ya kufanya ushenz huo ikapotea taratibu, sasa hata yy anaona hata kinyaa akiyasikia,hatukuamin wakati tumesikia mana hata alotuambia anadai mwenyewe alijua kwa kukuta msg ila alipoulizwa aligoma akaja kukiri wakati amepona.tutafute namna ya kuwasaidia labda kuna namna mi nadhan ule ni ulemavu tu....
 
'...hi imentokea mpnz wng z th sos was kwny arusi na mpnz anamfaham jamaa ila ajui km gay ka-take nmb yng,ananisumbua sn
 
Mtoa mada kuna maswali ameacha

1. Hiyo ndoa ni mpya au ya siku nyingi

2. Kuna watoto ndani ya ndoa hiyo?

Kama ni ya siku nyingi na kuna watoto, si rahisi kufunga virago na kuondoka kama wengi wanavyoshauri. Kwanza ni kumueleza ukweli kuwa amegundua kamchezo kake. Pili kutengana vyumba vya kulala maana jamaa asije mgeukia usiku. lakini tatu asisite kuwaita wachungaji wa kondoo wa bwana wampe huyo jamaa chakula cha roho. Huenda akaacha tabia hiyo na kurejea kwa muumba wake. Hatuisaidii jamii kwa kuwatelekeza waovu. Ndiyo maana kuna magereza na vyuo vya mafunzo. Hawa mashoga wasaidiwe kuacha tabia hiyo. Kama mateja wanasaidiwa na wanaweza kuacha hata kwa mashoga inawezekana pia.
 
Mpaka hapa mimi sijauelewa msimamo wako, mbona unakuwa mnafiki hivi, maneno meeeengi yenye kupingana.
 
Alishapata basha likapopoa bikira yake kama vile linapopoa maembe mabichi kwa matofali. Akaja kulalamika hapa kwa maumivu. Anaongelea uzoefu hapo alipo, muambie snowhite ariraksi. She(mple sana) is well taken care of!
ha ha ha MS anahitaji kukaa kwenye maji ya moto mpaka maumivu yapungue :happy:.

Unajua nini, wadada wengi wana mapouzi ya kulalamikia kuumizwa; so sishangai naye kulalamikia kuwa jamaa alikuwa na limdudu kubwa na akamuumiza kwa kupump bila mafeelings.
alikuwa anatwanga bila kupepeta :LOL:
 
wamama wa miaka hii mna kazi sana...........maaana wapo mabahasha apa mjini smart kuliko kitu chochote hutakaa umnase!!anakula na kuliwa na akija nyumbani unaliwa bila tatizo lolote!!!!!!!yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…