Unapogundua mumeo anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na mwanaume mwenzake

Wapendwa wadau wa JF,

A'Aleykum/Bwana Yesu asifwe sana.

Naomba leo tusaidiane kama great thinkers, wenye hofu na Mungu. Kama ni wewe unagundua mume wako anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na wanaume utafanyaje? Kitendo hiki cha kinyama kimetokea kwa jirani yangu baada ya kukamata message anatuma kwa mpenzi wake wa kiume.

Dada alichofanya alichukua namba ile akai-save kwake na kupiga. Yule kijana akakikiri kwa kusema wameanza siku nyingi na yeye ni mke wa pili wa mumewe, ni miaka 7 sasa wako pamoja wanafurahia penzi lao.

Kibaya zaidi, mwanamke alipotishia kuondoka mumewe akamwambia apange kilicho chake aondoke hana cha kufanya nae.

Nashindwa kuelewa kama huyu mungu tunayemdhihaki hayuko live.

Nawakilisha.

CD
Mhhh nimechoshwa na thinking in this direction kweli kabisaaaa!!!! kuna nini huku kwenye khukhu??? MBARIKIWE SANA!
 
Hapana jamani, kma ni mume wako umepata kwa shida na raha, ndio SHIDA ZENYEWE HIZO! Kuondoka inasaidia nini? kwa nini usijaribu kumsaidia mume wako, nina hakika ukikaa naye kwa mapenzo na taratibu ataacha hata kama ni ngumu kiasi gani! Je kama yeye akigundua kuwa wewe mkewe ni msagaji suluhisho ni kuondoka? wana jamvi, JF haipo kwa ajili ya kutoa simple soluations kama kuondoka, bali ni kumsaidia!! kaam ni hivyo, isingekuwa HOME OF GREAT THINkers! Tingisheni bongo badala ya kutoa simple answers!
 
Kusaidiana kupo ila sio kihivi, hapa msaada labda kumuanzishia dozi hiyo ambayo ni haramu weng wanaogopa. Na kama mume hana hisia na mwanamke tena utamvuliliaje? unavumilia ambapo mtu anajua amekosa na anajutia matendo yake, huyu anaonekana hana habari kabisa na mkewe mpaka anamwambie afungashe aondoke, na ushauri tu kwa huyo mama ahakikishe anaondoka yeye mwanaume sio yeye
 
Gaga, bado sikubaliani na wewe! Mumeo akilishwa limbwata huko mitaani na wewe utaondoka tu? wont you fight for your marriage?
 
daaah! cha msingi hapo ni kuondoka tu... ila hii dunia sasa imeshaharibika... hao watu wapo wengi sana katika jamii tena hawaoni hata aibu.. tuombe mungu sana katika kutupatia wake au mume..
 
Duh salaleeeeee! jikate mwanangu na wala usigeuke nyuma usije ukageuka jiwe na umkutapo njiani mpitie mbali kabisaaaaaaa maana miaka karibu saba ya kula tigo atakuwa keshabobea na hujui kabla ya hapo ilikuwaje. Ila nina swali mmoja kwako hajawahi kukuomba hako kamchezo?!!!!
 
Gaga, bado sikubaliani na wewe! Mumeo akilishwa limbwata huko mitaani na wewe utaondoka tu? wont you fight for your marriage?
tofautisha limbwata na hii ya kinyume na maumbile, halafu huyu ni mwanaume mwenzake, ishu yake ni nzito sana sidhanui kama inasolvika, zaidi ya kumwacha ahangaike na dunia yake maana hii imezidi kipimo, kuna vitu vinavumilika aisee ila hiki sijui unabebaje, na kama nina watoto wanaweza jifunza hii kutoka kwa baba yao ni bora kuwaondoa mapema
 
Wapendwa wadau wa JF,

A'Aleykum/Bwana Yesu asifwe sana.

Naomba leo tusaidiane kama great thinkers, wenye hofu na Mungu. Kama ni wewe unagundua mume wako anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na wanaume utafanyaje? Kitendo hiki cha kinyama kimetokea kwa jirani yangu baada ya kukamata message anatuma kwa mpenzi wake wa kiume.

Dada alichofanya alichukua namba ile akai-save kwake na kupiga. Yule kijana akakikiri kwa kusema wameanza siku nyingi na yeye ni mke wa pili wa mumewe, ni miaka 7 sasa wako pamoja wanafurahia penzi lao.

Kibaya zaidi, mwanamke alipotishia kuondoka mumewe akamwambia apange kilicho chake aondoke hana cha kufanya nae.

Nashindwa kuelewa kama huyu mungu tunayemdhihaki hayuko live.

Nawakilisha.

CD

Muulize huyo mwanamke kama kuna siku mmewe amewahi mwomba wajiexpress
 
kwani hamgongi mke wake? Kama anampa shughuli...taabu ipo wapi?
au hamtakii a-share nanihii yake?
 
Taabu inakuja kugombania mume na mwanaume ni kitu cha ajabu sana

kwa hiyo wewe unaona ni nafuu ingekuwa mwanamke mwenzako?
Kuna kitu kimoja najiulizaga lakini sipati jibu. Ivi kwa nini tendo la ndoa tumelifanya kuwa ndio sign ya uaminifu/trust/upendo?
 
Kama mwanamke anamnyima kujiexpress mmewe ameamua kutafuta njia mbadala kukidhi haja zake.

Vinginevyo mwanamke akubali kumpa kote kote ili aachana na huyo shoga.
 
Hata DINI linaangalia hili tendo kama ndo dhambi kubwa kuliko hata kutoa mimba, kuua, kuiba, kushindisha watu njaa n.k
 
Kama mwanamke anamnyima kujiexpress mmewe ameamua kutafuta njia mbadala kukidhi haja zake.

Vinginevyo mwanamke akubali kumpa kote kote ili aachana na huyo shoga.
Fidel unapenda sana kuji express nahisi mkeo sasa hivi anapata tabu sana kutafuta dyper tehethetetehee...joke
 
kwa kweli mie ningeondoka,
sitaweza tena kushiriki naye maana nitamuonea kinyaa,
ila kwa kuwa mim nimeokoka nitamkumbusha maandiko ya Mungu yanavyosema juu ya jambo hilo na pia nitafunga kumuombea.
Ila yangenitokea mm nadhan ningekua mgonjwa kwa muda.

yaani kuna vituko chini ya hili jua bac tu, imagine 7 yrs imepita ndio unakuja kujua hiki kinyaa kilichokuwa kinafanyika....pwehhh
 
kwa hiyo wewe unaona ni nafuu ingekuwa mwanamke mwenzako?
Kuna kitu kimoja najiulizaga lakini sipati jibu. Ivi kwa nini tendo la ndoa tumelifanya kuwa ndio sign ya uaminifu/trust/upendo?

At least angepata nafasi hata ya kuliongelea hili mbele ya wazazi ila mwanaume? nahisi ni aibu na kujidhalilisha, watoto sijui wangelichukuliaje hili
 
kwa hiyo wewe unaona ni nafuu ingekuwa mwanamke mwenzako?
Kuna kitu kimoja najiulizaga lakini sipati jibu. Ivi kwa nini tendo la ndoa tumelifanya kuwa ndio sign ya uaminifu/trust/upendo?

Yote tisa,kumi wadau naomba tujibu hili swali la Chapakazi tafadhali!
 
Back
Top Bottom