Unapogundua mumeo anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na mwanaume mwenzake

Hata DINI linaangalia hili tendo kama ndo dhambi kubwa kuliko hata kutoa mimba, kuua, kuiba, kushindisha watu njaa n.k

pameandikwa wapi hapo mkuu? Dhambi zote ni sawa...maana adhabu zake yote ni sawa. Tatizo linakuja kuna dhambi nyingine zinaacha imprint na zinakuwa shida kuacha kabisa. Kwa mfano sexual immorality...
 
pameandikwa wapi hapo mkuu? Dhambi zote ni sawa...maana adhabu zake yote ni sawa. Tatizo linakuja kuna dhambi nyingine zinaacha imprint na zinakuwa shida kuacha kabisa. Kwa mfano sexual immorality...
Mkuu hii dhambi kwenye bible imeandikwa haisameheki kabisa
 
kuna moviee inaitwa the cover! itafuten hata google yaaani same story yule mdada aliamua kuondoka na mtoto wake ila hakuacha kumuombea jamaa akaendelea na u gay wake.
 
Ndugu wana jf, hivi kweli jamani kabisa kabisa yaani kabisa hamuwezi kuacha kuleta mada kama hizi ndani ya jamvi letu???! haaa jamani nachoka kabisa yaani kila mtu anatafuta angle ya kuzungumzia tigo toka jumatatu hadi juma pili?! spare aothers please mod naomba mada zote za tigo weka kwenye sehemu ya kikubwa ili premium members kama wanataka wazifuate huko tafadhari.

Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa kutoandika haya mambo.
 
huu ni mtihani naombea usinikute,mwambie aanze na yeye kujiweka soap soap avutie aaanze kwenda sehemu social kama pub,na mikutanoni mihadhara...atapata tu mtu atakayevutiwa naye ili amove on lol:dance::biggrin1:
 
Kwa sisi waislamu huyo jamaa na chakula yake hawastahili hata kuendelea kuishi. Kwa kifupi huyo dada inabidi aondoke haraka sana kabla muumba hajaamua kuwaunganisha wote wawili katika laana. Jamani tunaelekea wapi???
 
CORRECTION: huyo jamaa sio shoga ni basha au mende (mpenda choo)! duuh,hapo mdada lazima atoke nduki maana nae yupo mbioni kuombwa na kuliwa Tigo
 
Kuna stori nilisikia kuna mdada alipata STROKE baada ya kumfumania mumewe akiwa anafanya group sex na mashoga! Mshtuko alioupata ulisababishia stroke, akalazwa hospitali miezi mitatu, baada ya hapo akafariki.

Mambo mengine siyo hata ya kuombea yakukute!
 
CD
Tusimlalamikie Mungu
Kwa maovu yetu kwani
vingi tufanyavyo dunia hii
Ni uchaguzi wetu...
well said mya dear, ita true tusiwe tunamlalamikia Mungu ka kila jambo
kuna vitu vingi tu huepukika lakini hatutaki tumefumba maskio
 
Tusimsingizie shetani kwani naye anawashanngaa wanadamu! Kwa mtaji huu hata shetani amakwishawakana watu wa namna hiyo!
 
Wapendwa wadau wa JF,

A'Aleykum/Bwana Yesu asifwe sana.

Naomba leo tusaidiane kama great thinkers, wenye hofu na Mungu. Kama ni wewe unagundua mume wako anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na wanaume utafanyaje? Kitendo hiki cha kinyama kimetokea kwa jirani yangu baada ya kukamata message anatuma kwa mpenzi wake wa kiume.

Dada alichofanya alichukua namba ile akai-save kwake na kupiga. Yule kijana akakikiri kwa kusema wameanza siku nyingi na yeye ni mke wa pili wa mumewe, ni miaka 7 sasa wako pamoja wanafurahia penzi lao.

Kibaya zaidi, mwanamke alipotishia kuondoka mumewe akamwambia apange kilicho chake aondoke hana cha kufanya nae.

Nashindwa kuelewa kama huyu mungu tunayemdhihaki hayuko live.

Nawakilisha.

CD

caro umebarikiwa uliejua hilo. Co kufanya na mwanaume mwenzie hata kama angekuwa mwanamke ni laana
unaona jinc huyo jamaa alivo wa ajabu? Hana hata chembe ya huruma na mke wake na wala hana hamu na mkewe! Nakwambie amin usiami hiyo ni laana!
Huyo jamaa hatakuwa na mwisho mzuri ktk maisha yake.
2. Huyo mwanamke mwambie asitishie kuondoka bali aondoke tena kwa kukimbia mana zamu ya kugeuzwa inaweza kuwa yake. HIYO NI BALAA!
3. Ee Mungu wakumbuke watu wako.
 
pameandikwa wapi hapo mkuu? Dhambi zote ni sawa...maana adhabu zake yote ni sawa. Tatizo linakuja kuna dhambi nyingine zinaacha imprint na zinakuwa shida kuacha kabisa. Kwa mfano sexual immorality...

chapakaz uwe makn sn, uctake upate laana, umeambiwa zaen co toen mimba, unaruhusu wake zao kutoa mimba co? Take care, dhambi zote ni sawa.
 
Ndugu wana jf, hivi kweli jamani kabisa kabisa yaani kabisa hamuwezi kuacha kuleta mada kama hizi ndani ya jamvi letu???! haaa jamani nachoka kabisa yaani kila mtu anatafuta angle ya kuzungumzia tigo toka jumatatu hadi juma pili?! spare aothers please mod naomba mada zote za tigo weka kwenye sehemu ya kikubwa ili premium members kama wanataka wazifuate huko tafadhari.

Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa kutoandika haya mambo.

mulama mulama mulama! haya ni mambo ya mcng ambayo watu wanatakiwa kuyaepuka con haja ya watu kufichua uchafu kama huu, 2natakiwa 2usafishe co kupotezea. Uckatishe wana jf tamaa
 
mh? Hili nalo nenooo nilikuwa cjui na cjui kama hata haya yapo? Duh! Kaz kwel kwel duniani hapa mh!
 
Back
Top Bottom