Unapofunga na kudhibiti njia halali za watu kutafuta haki na kudai mabadiliko,basi ujue unawataka watu watumie njia mbadala kutafuta haki na kudai m

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,022
144,379
Ukweli ni kwamba,unapodhibiti mifumo yote halali ya watu kudai haki zao na kupaza sauti,watu hao hubakiwa na option moja tu ya kutumia mbinu na njia mbadala bila kujali uhalali wa njia wanazotumia bali hujali zaidi matokeo ya mbinu na njia hizo.

Na ni katika mazingira haya,ndio hata Mungu huweza kubariki njia zisizo halali.

Sometimes kukata tawi uliokalia sio lazima uwe juu ya mti, bali unaweza kuwa katika kiti cha kuzunguka ukadhani unazunguka kumbe unabiringita.
 
CCM wa mtandaoni leo wapo na viongozi wa dini, ila juzi kati walikuwa ni wasaliti wao baada ya kutoa ule waraka.
 
.
IMG-20190128-WA0005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom