Unapodelete msg kwenye simu inakwenda wapi?

Haionekani hapo kwenye simu yako lakini bado ipo mtandaoni tena ajabu ni kwamba ukichukua na kuweka kwenye modem utashangaa kuona msg nyingi ulizodelete. Pia hata uki delete bado kuna uwezekano wa kuziona hizo msg kwa makampuni eg. Airtel kama wewe unatumia Airtel
 
Inapotea kabisa kwani unakuwa umeclear memory. Ila kwa hizi tablets ndio unaweza kufanya reverse engineering
 
Nothing disappear from Your Mobile... ndo maana osama hakutumia mobile sana Kwenye mawasiliano yake

Ukienda kwenye makampuni watakuambia mawasiliano yako yote toka unanunua line
 
unapo an dika ubaoni kwa chalk na kufuta maandishi yana kwenda wapi?

Huu mfano si hai kulingana na swali la mleta mada....

Electron message ni tofauti na Chaki na ubao.. Chaki ni kama vumbi na unapofuta unaona linadondok chini. But electron mpaka ujue ni umetafuta sehemu zinapokimbilia
 
si kosa lake ni uelewa wake umegotea hapo. Halitendei jina lake haki
 
Nothing disappear from Your Mobile... ndo maana osama hakutumia mobile sana Kwenye mawasiliano yake

Ukienda kwenye makampuni watakuambia mawasiliano yako yote toka unanunua line

Kuna tofauti kidogo hapo, maana kwa kanuni za TCRA lazima makampuni ya mawasiliano yafanye backup kwa wateja wao. Hivyo mawasiliano yanapopitia kwao toka point A kwenda B wanayahifadhi ndio maana hata simu yako iungue moto wao wanakuwa na data zako, hoja ya huyu ni kwenye device yake kuwa baada ya kufuta hizo information hukimbilia wapi....?
 
Last edited by a moderator:

Ooooh ok... Thanks kwa kuniweka sawa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom