Kwetu Ngoreme
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 489
- 189
Dunia hii hakuna kitu kinachofutika au kupotea, ila huwa vinabadilika kutoka ktk mada(state) moja na kwenda nyingine. So the same apply to mobile sms, Sms zinazofutwa huwa zinakuwa compressed and hidden ndani ya memory ya simu.