Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,724
Nimefanya sana hii
mbona kawaida huwa inabaki baki nyingi tu ukichana inasaidia
Ndio mkuu, tena kwenye kona inakuwa nyingi na kwa juu kwenye shingo huwa nakikata kisha naichota na kidoleNa unaendelea kufanya?
Na unaendelea kufanya?
Mimi sijaacha miss chaga!!
watu kwa kujipiga picha hamjambo
Hahahahahaaaaaa, umenichekesha mkuu. Sasa hiyo
kamera ilishikwaje wakati mikono yote ipo kazini?...
ndio maana tube nyingi za dawa za kuswakia ziko nusu
watu kwa kujipiga picha hamjambo