Unapishana na mkeo bafuni guest house unaanzaje??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unapishana na mkeo bafuni guest house unaanzaje???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 26, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Angalizo;maneno yyenye msaada
  wanandugu ni wakati mzuri wa kujiandaa na maafa badala ya kuanza kukimbilia ma jaketi na mengineyo wakati watu wanakwisha

  incase umefika lodge ukaenda kuoga mara unatoka unakuta mkeo anatoka bafuni nae ana taulo kuelekea chumba cha jirani naomba msaada step za kuchukua ili tuwendelee kupendana na kusameheana kwa hili

  nawakilisha
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jun 26, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Duh! Hii mtu unaweza ukafa kifo cha ghafla aisee! Eniwei, nadhani kama wote mmeshafikia hatua hiyo ama mmoja wenu ndio kafikia hatua hiyo basi tena, hakuna penzi wala heshima hapo! Hatua za kuchukua ni kwenda ku-file petition ya dissolution of marriage ile mje kuwa huru zaidi na kila mtu afanye apendacho kwa uhuru wake bila kufungwa na dhamiri. Hakuna haja kabisa ya ku-react violently or hysterically.

  Kusema eti mtasameheana na kuendelea kupendana mtakuwa mnayeyushana tu kwa maoni yangu. Mngekuwa mnapendana msingefanyiana hivyo. Kama mngeamua kufanya hivyo mngeambiana kwani siku hizi kuna mambo hadi ya open relationshiop - kwamba unamega na kumegwa nje na mwenzako anajua na hakuna cha green eyed monster wala nini.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jun 26, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huo mtihani, lakini ni bora kuwa mpole na kutulia ili muyamalize kiutu uzima bila jazba. Lakini nawe huko lodge unatafuta nini hadi yote hayo yakakukuta
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  mwosha uoshwa
   
 5. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  haijanitokea... kuisoma tu nahisi damu inachemka mishipani...!!
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hapa kila mmoja itabidi amjibu mwenzie kulikoni ingawa nyie wanaume kwa hali kama hiyo kosa kubwa litaonekana kwa mwanamke :twitch:
   
 7. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mapenzi kwisha! Muhimu ni kila mtu na njia yake! Ukiuliza wewe umefata nini huku, utajibiwa hv, Na wewe umefata nini huku!:closed_2:
   
 8. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  For sure :closed_2:
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Kwa wazee wa infidelity kama sisi Ni Marufuku:
  1. Kwenda gesti ambazo si self contained
  2. Kukutana na mkeo kwenye nyumba za uasherati
  3.Kuingia gesti kwa mlango wa mbele
  4.Kufungua mlango wa chumba cha gesti kabla hujachungulia kwenye tundu la funguo (huku ukisikiliza foot steps)
  5. Kuangalia nyuma au pembeni mara unapotoka kwenye lango wa chumba cha gesti
  6. Kuongozana na mtenda dhambi mwenzio (mwanamke anawahi kuingia na mwanaume anawahi kutoka)

  Ukizingatia yote hayo, kama wewe ni mzee wa infidelity, na mkeo naye akawa mama wa infidelity..... Haitakaa itokee mkafumaniana gesti. ASILANI:lie::lie:
   
 10. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2010
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  1. Kwa utulivu kila mtu akavae nguo
  2. Kisha mtachukua usafiri wa pamoja wa kwenda nyumbani
  3. Mkifika nyumbani inabidi kutafakari kwa pamoja mustakabali wa ndoa

  Naomba kuwasilisha
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Mimi mke wangu hawezi kunituhumu uzinzi kama hajanikuta storingo ikiwa ndani ya mtambo. Hata akinikuta nimelala gesti na mwanamke ntamjengea hoja mpaka atakubali.

  Lakini yeye nikimkuta uchochoroni kasimama na mwanaume (hata kama ni baba, au kaka yake). Anahukumiwa on the spot kuwa yeye ni MZINZI aliyekubuhu tena MWASHERATI!!!!!
   
 12. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapo tu! sasa kumbe ni mzee wa infidelity?
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Umepapenda hapo? Twende PM basi..............:humble:
   
 14. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  lunch umepata valuu ngapi vile?
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Nimetoka mswaki, kavaluu kachupa kamoja kwa kukata kiu. Turudi kwenye mada, ukikutana na mmeo gesti utafanyaje?
   
 16. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Mzee nimekukubali...!!! Ila jamani kuna jamaa mmoja aligongana guest house na mama mkwe wake!
   
 17. Kakungulume

  Kakungulume JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2010
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 212
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  chrispin,
  Nimekubali
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Ahsanteni sasa wanachama hai wenzangu........:roll:
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo linahitaji thread. Lakini ukiangalia kwa dhati hiyo ni bonge la sekyurite. Manake hata wife akikufumania akaenda kushtaki kwa mama yake mzee una uhakika wa kushinda kesi!!!
   
 20. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nampa talaka! au ajabu mwanamke kutoa talaka? maana mpaka sasa nahisi tu naibiwa cjakutana na hata mwizi mmoja walau nifahamu wakoje, wanatofauti gani na mm!
   
Loading...