Unapendelea Bosi wa kike au wa kiume?

Wa kike hawajui kupiga dili ndio wazuri maana ukiwa mzee wa kujiongeza anakuwa anakuachia ishu kibao uzifanye yeye anaenda saluni kusuka huku nyuma mambo swaaaaaaaaaffffffffffff.
 
Pia akikupenda ujue umeula, unajisevia tu hata ofisini anamwambia secretary tuna kazi maalum usiruhusu mtu, humo ni maraha tu na allowance unapata
 
Back
Top Bottom