Unapendelea Bosi wa kike au wa kiume?

Unapendelea Bosi wa kike au wa kiume?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Kwenye ajira na swala la zima la kuripoti kwa Bosi, ni jinsia gani una "get along with, easily"? What's your preference if you were to choose gender for your Boss?
 
Duh! Napendelea bosi wa kiume.Mabosi wa kike wana mitima nyongo tena ukikuta waliochini yake kimaisha wako juu yake mtajuta.
 
Napenda wa kike, bosi wangu wakike yaani burudani.....
 
Bosi wa kike ni Safi Hakuna bifu nae za kuwinda totoz hapo staff
 
Wa kike ni noooma! Hata akiwa Prof bado ana vitabia vya kiswazi atataka kufuatilia vitu vidogo vidogo kama yuko nyumbani kwake vile!
 
...mi ndo boss sasa utafanyaje, kama hunipendi kula jiongeze tu...
 
napenda bosi wa kike, ambae anajitambua....
 
boss yeyote ila tu asinibanie dili zangu akiniingilia tu sijali jinsia namchukia
 
Boss wa kike sio kabisa, wakorofi sana, wanafuatilia hata issue binafsi. Pia busara hawana na wanapenda kuonekana wa kiabudiwa kama miungu
 
Mimi napenda boss yeyote mwanaume mwanamke ilimradi tu ni mfanya kazi, hana majungu wala umbeya wala ushirikina. Yaani yule wa hapa kazi tu na anaejali ubinadamu.
Yangu ni hayo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom