Unapenda zama ipi ya mapenzi?

AL SADY OLPLANER

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
294
211
SERA YA MAPENZI kwa vipindi tofauti..!

MIAKA YA:
1986-1990. Ukimtongoza binti, alikuwa akijibu
"NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!"

MIAKA YA:
1991-1995. Walikuwa wakijibu
"NIMEKUBALI lakini namwogopa Baba na Mama watajua..!"

MIAKA YA:
1996-2000. Walikuwa wakijibu
"NIMEKUBALI lakini sitaki kufanya mapenzi mpaka unioe..!"

MIAKA YA:
2001-2005. Walikua wakijibu
"NIMEKUBALI lakini tutumie Condom..!"

MIAKA YA:
2006-2010.Walikua wakijibu
"PESA yako 2, maneno sitaki..!"

Balaa liko hapa...!

MWAKA:
2011-2015. Wanajibu
"NIMEKUBALI lakini haupo peke yako..!"

MWAKA
2015-2016
Hainaga ushemeji tunakulaga

2016-2017
Mapenzi mubashara


Je, Kipi kipindi kizuri kati ya hivi??
 
Back
Top Bottom