Unapenda rangi gani???

Kweli Koku,

Umenifanya nishushe pressure yangu toka 140/100 hadi 110/65......

Naweza kupumzika kwa amani na kumalizia week end!!

Babu DC!!

Babu wewe.
Umenipa ujiko wa kukushusha presha to nornal

Mjukuu wako leo meno yote nje, kwa furaha ya kumpunguzia babu mapigo ya moyo.

Babu ukitaka kuthibithisha kuwa rangi ya blue ni nzuri just look at the BLUE SKY.
Lovely kwakweli.

Pumzika kwa amani babu yangu uwe karibu na bibi lakini.
 

Usiwe na shaka Koku,

Mie na bibi ni zaidi ya mwili mmoja (kiwili wili)...Ni moyo mmoja na roho moja!!

Babu DC!!
 
Kijani kibichi,haswa ukikiwasha..sunajua tena marasta tunadumisha.
 
Nimejikuta napenda sana rangi ya blue is the most preferable colour ....ingawa pia napenda while katika mazingira ya MMU!!


Wewe unapenda rangi gani?


Babu DC!!

Mkuu DC kwenye mavazi au kwa kuandika hapa JF?
 
He he he, am yellowish brown with majenta stripes lying perpendicular to eyes shadow.

Nina deep 180S na Strike ya 235 NW
Texture yangu ni Massive, napatikana katika Ubendian rock
Umri wangu ni mid Jurassic to cratecious.

Ndo maana I triple love black.
Mie naipenda rangi yako Kongosho! Habari nilizonazo u- kunde maji !
 
Babu DC na wewe unatafuta rangi za vazi la taifa?:biggrin: Red:A S-coffee: Purple= white Brown
 
Napenda sana nyeusi ikichanganywa na Pink, kijani, Njano au orange. . Alafu napenda sana nyekundu ikichanganywa na nyeupe, and all shades of blue.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…