Unapenda chakula gani?

teh teh teh!!!!!! side mirror tenah!!!!!!!!!!!!!

Pande la PAPA hilo...si unajua uswazi nguna inakuwa kwenye sahani inashambuliwa then kiganjani unakua umeshika kipande cha papa mkavu
 
Pande la PAPA hilo...si unajua uswazi nguna inakuwa kwenye sahani inashambuliwa then kiganjani unakua umeshika kipande cha papa mkavu
tena ukute ugali wa mduara!!!!!!!!!
 
looh rafiki!!!!!!!!! ugali!!!!!!!!!!!!
Ugali ndio, najua mabinti wengi hawapendi ugali, watoto wengi hawapendi ugali pia kama nilivyokuwa mimi zamani but siku hizi ndio chakula changu kikuu
 
Ugali ndio, najua mabinti wengi hawapendi ugali, watoto wengi hawapendi ugali pia kama nilivyokuwa mimi zamani but siku hizi ndio chakula changu kikuu
hapo umenena!!!!!!!!!!
 
yeuwiii, me kitu cha kuku wa kienyeji tena awe katiwa nazi na ugali wa dona mlaini. . . ntalamba hadi vidole!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…