Unapenda chakula gani?

kitu cha NGUNA na SIDE MIRROR ndio mpango mzima...
 
Kitu cha ubwabwa na samaki nchanga wa mchuzi
 
princess enny miye napenda sana ndizi kwa utombo ulochanganywa na nyama duh! uzipate na parachichi la rombo acha matani bana!
Hapo red ndo chakula kupitia mdomo upi? Manake ndizi zaweza tumika kwa mdomo wa juu lakini kuna mabinti wengine wanazitumia kwa mdomo wa chini. Sasa tuambie haswahaswa ulikuwa unamaanisha nini? BTW hujambo gfsonwin wa hommie wangu Kaizer?
 
Last edited by a moderator:
Kitu Noah rosti ndizi kadhaa pembeni! mwisho nyagi ya kusuzia!
 
Kitu wali na rost nyama.......swaaafi (sikukuu)

Ugali dagaa wa mchuzi (siku za kawaida)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…