Unapata ujumbe gani hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unapata ujumbe gani hapa?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, May 15, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wana JF wenzangu,
  Jaribu kuangalia hizi picha zilizoko hapa kisha utoe maoni yako nani zaidi ya mwenzake hapa? Tujifikirishe kuwa wote hawana wasifu (CV) kali. Kwa mtazamo huo nani mkali hapa?


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Naona mwanamama anaongea kwa hisia kali na watu wanamsikiliza kwa makini
   
 3. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ni kweli anaongea kwa hisia kali. Kwa mtazamo wako nani hapo ni zaidi ya mwingine kulingana na visual iliyoko mbele yako?
   
 4. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh usije kuwa hii ndiyo campaign Nape aliyosema kwamba wanachama wa Chadema wamerudisha kadi. Duh hisia zangu ni kwamba CCM wamezorota wamekufa na wanaoza sasa. Maana hata jukwaa hawawezi weka maana hakuna hadhira.
   
 5. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo mama anaonekana mkali zaidi maana watu kibao mpaka wasiojiweza wapo walau wapate neno...!
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mwanamama ni mkali zaidi kavuta hadhira na benchi lake sio hao wengine!!
   
 7. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mama hana Jukwaa "ana watu nyuma yake" inatia moyo!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  "............CCM mmetuchakaza, tunatembea pekupeku hata hela ya yeboyebo hatuna,, Ona akina mama wenzangu waliokaa hapo nyuma, wanasikitika, hata UJI hawajnywa kwajili yenu!"
  Ndivyo anavyoonekana kusema mama huyu!
   
 9. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Huyu mama hana CV kali kwenye jamii lakini bado kam-beat Chiligati na Nape. Mind that Chiligati alikuwa kwao Singida na still watu walimbeza.
   
 10. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nashukuru Maria Roza kwa kutokatakata kona. Hilo ndilo nilihitaji kujua.
   
 11. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ukiangalia nyuma ya huyo mama (far back), utamuona mzee mwenye suti nyeupe akiwa ni handicapped. Lakini huyo baba kahakikisha kuwa anafika kwenye hiyo hadhara iliyoendeshwa na mtu ambaye hana CV kali kwenye jamii. Mmmmh hapo kuna kiashirio.
   
Loading...