Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,405
- 38,033
Kwani mimi ndio nimewaleta duniani?
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani mimi ndio nimewaleta duniani?
Pata picha unahitaji ada ya shule leo, alaf mzee wako anakwambia atakupa kwa muda muhafaka, ila miaka inakata tu na haoneshi dalili za kukupa, utamchukulia vipi?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Sa huyo kamkosea nini Mungu? Why amtese hivyo?
Rafiki hapa unafurutu ada!Kwanini wanaopelekwa icu wanakufa? Madaktari wakishindwa yeye Mungu anakuwaga wapi?
Mfano huyo aliyelala kitandan kwa miaka 8, kwahiyo anaendelea kusubiria tu hatma yake toka kwa Mungu? Vipi ikitokea kafa?Kumbuka Mungu sio kama mzee wako, Mungu huwezi kumlinganisha na kitu chochote katika level yoyote, vitu vyote bali viumbe vyote ni mali yake, anajua yaliyopita, ya sasa na yajayo.
Basi unapoomba msaada sasa hivi kutoka kwake, Yeye anaangalia sasa hivi na baadaye juu ya hayo maombi yako, hapo unaona tofauti???, wewe unahitaji msaada kwa muda huu, Yeye anaangalia muda huu na muda ujao kuhusu hilo ombi lako, kumbuka Mungu sio mtu afikirie mambo humanly kama wewe unavyotaka pia halazimishwi.
Mungu huwa hatesi, bali sheteni pamoja na wafuasi wake (majini, wachawi, na nk) ndio hutesa hutupa magonjwa na kutuua.
Sasa uliposema kuumwa ni ibada ulimaanisha nini? Kwamba unapougua unawaabudu wazazi auMungu aombeje msamaha, kwani aliwatuma wazazi wako wafanye Hilo tendo uzaliwe?
Kwahyo walaumu waliokuzaa na sio huyo Mungu, Toka lini Mungu akafanya Hilo tendo?
Mungu huwa hatesi, bali sheteni pamoja na wafuasi wake (majini, wachawi, na nk) ndio hutesa hutupa magonjwa na kutuua.
Hivyo vyote si ni viumbe vyake? logically yeye ndo anayetesa!
KWA nilivyomuelewa Kuna kufanya uwe karibu zaidi na Mungu na ndio utakapo tambua umuhim wa kuwa na Afya Njema ,Kama una umwa utakumbuka mengi Sana mabaya ambayo uliyofanya na kujutia KWA hiyo ndio maana inakufanya umrudie Mungu maana neema alizotoa ni nyingi zaidiSasa uliposema kuumwa ni ibada ulimaanisha nini? Kwamba unapougua unawaabudu wazazi au
Mbona Wapo wengi waliokuaga kwenye mateso, mahangaiko, Magonjwa nk Lakinii walisuburi na Leo wamepona au kufanikiwa na hawana budi kumshukuru Hivyo Sio Lazima Sasa kila Mwenye Shida, Matatizo, tabu kupona au kupata ahueni Kama wengine walivyo pata INATOFAUTIANA Usimpangie MunguMfano huyo aliyelala kitandan kwa miaka 8, kwahiyo anaendelea kusubiria tu hatma yake toka kwa Mungu? Vipi ikitokea kafa?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Nimesema ikitokea akafa, nikiwa na maana kwamba anasubiria muda mrefu maombi yake kujibiwa, alaf mwisho bado inaenda tofauti, why ampitishe kwenye ugumu wote huo?Mbona Wapo wengi waliokuaga kwenye mateso, mahangaiko, Magonjwa nk Lakinii walisuburi na Leo wamepona au kufanikiwa na hawana budi kumshukuru Hivyo Sio Lazima Sasa kila Mwenye Shida, Matatizo, tabu kupona au kupata ahueni Kama wengine walivyo pata INATOFAUTIANA Usimpangie Mungu
Sasa "ikitokea kafa" Kwan kufa Ni Option !?
Si ni Lazima Mzee [emoji2][emoji2]
Mfano huyo aliyelala kitandan kwa miaka 8, kwahiyo anaendelea kusubiria tu hatma yake toka kwa Mungu? Vipi ikitokea kafa?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Jinsia inatokana na genetics mkuu. All in all, point yangu ni kwamba maswali ni mengi sana kuhusu Mungu, kuliko majibu yaliyopo.Nikueleze jambo: kwanza hatujui nini kilichopelekea huyo mwenzetu kukunbwa na hiyo kadhia, pili Mungu anajua tusiyoyajua na tatu Mungu anayo mipango yake ambayo haingiliwi na yeyote, mfano Ni nani aliyepanga wewe uwe na jinsia hiyo uliyonayo??-- ni mipango yake Mungu tu.
Mungu katuumba na akili, kazi ya akili yetu ni kupambana na mazingira yetu kujua kipi cha kufanya na kipi tusifanye kwa manufaa yetu, sasa mfano mtu anaambiwa POMBE (gongo) ni haramu na mbaya kwa afya mtu hasikii na akipata madhara akalazwa 10 yrs hospitalini Je hapo tumlaumu Mungu???, kuna shida za binadamu zitokanazo na Uzembe, ujinga au bahati mbaya hizo zote hawezi Mungu kulaumiwa kwasababu Mungu katupatia Akili.
Hivyo vyote si ni viumbe vyake? logically yeye ndo anayetesa!
Na mimi ulinielewaje kwenye comment yangu aliyoniquote?KWA nilivyomuelewa Kuna kufanya uwe karibu zaidi na Mungu na ndio utakapo tambua umuhim wa kuwa na Afya Njema ,Kama una umwa utakumbuka mengi Sana mabaya ambayo uliyofanya na kujutia KWA hiyo ndio maana inakufanya umrudie Mungu maana neema alizotoa ni nyingi zaidi
Jinsia inatokana na genetics mkuu. All in all, point yangu ni kwamba maswali ni mengi sana kuhusu Mungu, kuliko majibu yaliyopo.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mbona Wapo wengi waliokuaga kwenye mateso, mahangaiko, Magonjwa nk Lakinii walisuburi na Leo wamepona au kufanikiwa na hawana budi kumshukuru Hivyo Sio Lazima Sasa kila Mwenye Shida, Matatizo, tabu kupona au kupata ahueni Kama wengine walivyo pata INATOFAUTIANA Usimpangie Mungu
Sasa "ikitokea kafa" Kwan kufa Ni Option !?
Si ni Lazima Mzee [emoji2][emoji2]