Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,704
Kumbuka; No a conscious creation without a conscious mind.
Tukisimami kwenye kauli yako, yeye Mungu ametokea wapi?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kumbuka; No a conscious creation without a conscious mind.
Tukisimami kwenye kauli yako, yeye Mungu ametokea wapi?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
AiseeYeye ni "eternity" (causa causan). Eternity huwa haiumbwi, bali yenyewe huumba.
Every creation is "derived" from Eternity. Eternity ndiye Mungu.
Yes nimekuelewa,Ila haubudu wazazi Ila inamfanya awe karibu na Mungu ,kuabudu wazazi haileti maanaNa mimi ulinielewaje kwenye comment yangu aliyoniquote?
Mateso yangekuwepo na tusingelalamika, kuliko kuambiwa kuwa Mungu yupo ana huruma na anaponya halafu hatuoni msaada wowote kutoka kwakeKwahiyo Mungu asinge kuwepo Usingekua kwenye mateso ?? [emoji2][emoji2]
Kwahiyo Mungu karidhika kabisa na haya mateso tunayopewa na shetani, seems shetani kamzidi nguvuMungu huwa hatesi, bali sheteni pamoja na wafuasi wake (majini, wachawi, na nk) ndio hutesa hutupa magonjwa na kutuua.
Wala sikufuru chochote, Mungu aje atueleweshe yasiyoeleweka. Ni Kama baba kuzaa watoto na kuwatelekeza...tena bila mamaRafiki hapa unafurutu ada!
Jaribu kusoma hapa kidogo, imeandikwa na jw.orgKwahiyo Mungu karidhika kabisa na haya mateso tunayopewa na shetani, seems shetani kamzidi nguvu
Yote hayo yameandikwa na binadamu kama wewe, naamini vipi ni ya kweli?Jaribu kusoma hapa kidogo, imeandikwa na jw.org
Biblia inasema wazi kwamba Mungu hasababishi mateso yanayowapata wanadamu. Kwa mfano, Biblia inasema kwamba tunapopatwa na matatizo, si sahihi kusema: “Mungu ananijaribu.” Kwa nini? Kwa sababu “Mungu hawezi kujaribiwa na mambo maovu wala yeye mwenyewe hamjaribu yeyote.” (Yakobo 1:13) Kwa kweli, Mungu hasababishi kamwe majaribu au mateso tunayopata. Kufanya hivyo kungemfanya awe mwovu, lakini tofauti na hilo Biblia inasema “Mungu hatendi kwa uovu.”—Ayubu 34:12.
Ikiwa si Mungu, ni nini au ni nani basi anayesababisha mateso ya wanadamu? Kwa kusikitisha, mara nyingi wanadamu wameteswa na wanadamu wenzao. (Mhubiri 8:9) Kwa kuongezea, tunaweza kupatwa na majanga kwa sababu ya “wakati na tukio lisilotazamiwa,” yaani, kuwa mahali pasipofaa wakati usiofaa. (Mhubiri 9:11) Biblia inafundisha kwamba “mtawala wa ulimwengu huu,” Shetani Ibilisi, ndiye chanzo kikuu cha mateso ya wanadamu, kwa sababu “ulimwengu mzima unakaa katika nguvu za yule mwovu.” (Yohana 12:31; 1 Yohana 5:19) Kwa hiyo, Mungu hasababishi mateso ya wanadamu. Shetani ndiye anayesababisha watu wateseke.
Yote hayo yameandikwa na binadamu kama wewe, naamini vipi ni ya kweli?
Wew yeriko bila shakaMungu gani huyo akulaze hospital muda wote huo halafu umshukuru? Hivi sisi binadamu akili zetu tumeshikiwa na nani? Yaani mtu aponywe na madkatari harafu umshukuru mtu ambaye hata hayupo bali ni story tu za kusadikika tuache ujinga sasa
Mie kila day nasema hakuna kitu kinaitwa mungu wala shetani wala yesu sijui bali ni story za kusadikika tu hakuna kitu kama hicho
Watu wa kuwashukuru sana ni wazazi wako basi na siyo sijui kitu kinaitwa mungu
Hivi fikiria kwa akili za kawaida huyo mungu angekuwa na huruma angekuacha upate msoto, angekuacha ufe, angekuacha upate ajali, upate njaa, angekubali majanga ya dunia hii bali vyote hivyo anayeweza kukusaidia ni wazazi wako, wazazi wako hawako tayari kuona unapata yotehayo na ndiyo maana unaona wanapambana kwa hali yoyote ili tu usipate shida zozote
Note
Kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa mungu ni kutoshughurisha akili yako
Biblia imeandikwa na wajanja wa enzi hizo kuja kutusumbua na sheria zao zinazokinzana. Siwezi iamini..Amin katika biblia? Maana na vifungu umewekewa kabisa. Emb tafakari hata kidogo uwepo wa mungu hasa katika uhai wa mwanadamu.
Sawa mkuu basi kila mtu aendelee kuamini imani yake yatosha!Biblia imeandikwa na wajanja wa enzi hizo kuja kutusumbua na sheria zao zinazokinzana. Siwezi iamini..
Inatosha kabisa.Sawa mkuu basi kila mtu aendelee kuamini imani yake yatosha!
Yes nimekuelewa,Ila haubudu wazazi Ila inamfanya awe karibu na Mungu ,kuabudu wazazi haileti maana
Dilek kuja kwetu kwenye huu ulimwengu sio kama imejitokea tu au kama tumekuja kibahati mbaya! La hapana lazima ujue kuwa yupo anaetumiliki na aliyetuleta kwenye ulimwengu huu, na yanayotokea kwenye ulimwengu huu ni majaribio yetu ambapo tutakapoondoka kwenye ulimwengu huu ndipo tutakapokwenda kuangalia matokeo yetu kama tumefaulu ama la! Najua unajua hivyo ila utajua hujui!![emoji2954][emoji2954][emoji2954]Wala sikufuru chochote, Mungu aje atueleweshe yasiyoeleweka. Ni Kama baba kuzaa watoto na kuwatelekeza...tena bila mama
Wewe ndo huoni huo msaada wakeMateso yangekuwepo na tusingelalamika, kuliko kuambiwa kuwa Mungu yupo ana huruma na anaponya halafu hatuoni msaada wowote kutoka kwake
Majaribio anataka kuvumbua nini asichokijua? Umletee mtu duniani bila ridhaa yake umpe mateso hlf useme unamjaribu? Ni kama vile hana uhakika na kiumbe alichokiumba.Dilek kuja kwetu kwenye huu ulimwengu sio kama imejitokea tu au kama tumekuja kibahati mbaya! La hapana lazima ujue kuwa yupo anaetumiliki na aliyetuleta kwenye ulimwengu huu, na yanayotokea kwenye ulimwengu huu ni majaribio yetu ambapo tutakapoondoka kwenye ulimwengu huu ndipo tutakapokwenda kuangalia matokeo yetu kama tumefaulu ama la! Najua unajua hivyo ila utajua hujui!![emoji2954][emoji2954][emoji2954]