Unapaswa kumshukuru sana Mungu

Unapaswa kumshukuru sana Mungu

Mungu gani huyo akulaze hospital mda wote huo harafu umshukuru? Hivi sisi binadamu akili zetu tumeshikiwa na nani? Yani mtu aponywe na madkatari harafu umshukuru mtu ambaye hata hayupo bali ni story tu za kusadikika tuache ujinga sasa

Mie kila day nasema hakuna kitu kinaitwa mungu wala shetani wala yesu sijui bali ni story za kusadikika tu hakuna kitu kama hicho
Watu wa kuwashukuru sana ni wazazi wako basi na siyo sijui kitu kinaitwa mungu ,
Hivi fikiria kwa akili za kawaida huyo mungu angekuwa na huruma angekuacha upate msoto, angekuacha ufe, angekuacha upate ajari , upate njaa, angekubali majanga ya dunia hii bali vyote hivyo anayeweza kukusaidia ni wazazi wako , wazazi wako hawako tayari kuona unapata yotehayo na ndiyo maana unaona wanapambana kwa hali yoyote ili tu usipate shida zozote
Note
Kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa mungu ni kutoshughurisha akili yako
Huku ndo kinaitwa kuishi kibubusa.
 
Mungu akusaidie upate uelewa
 
Acha unafiki mkuu!. Mungu ndio anapaswa kutuomba msamaha kwa kutuumba bila ridhaa yetu.
Maisha yetu yanaakisi makosa makubwa sana aliyotenda muumbaji
Mungu aombeje msamaha, kwani aliwatuma wazazi wako wafanye Hilo tendo uzaliwe?
Kwahyo walaumu waliokuzaa na sio huyo Mungu, Toka lini Mungu akafanya Hilo tendo?
 
Mungu gani huyo akulaze hospital mda wote huo harafu umshukuru? Hivi sisi binadamu akili zetu tumeshikiwa na nani? Yani mtu aponywe na madkatari harafu umshukuru mtu ambaye hata hayupo bali ni story tu za kusadikika tuache ujinga sasa

Mie kila day nasema hakuna kitu kinaitwa mungu wala shetani wala yesu sijui bali ni story za kusadikika tu hakuna kitu kama hicho
Watu wa kuwashukuru sana ni wazazi wako basi na siyo sijui kitu kinaitwa mungu ,
Hivi fikiria kwa akili za kawaida huyo mungu angekuwa na huruma angekuacha upate msoto, angekuacha ufe, angekuacha upate ajari , upate njaa, angekubali majanga ya dunia hii bali vyote hivyo anayeweza kukusaidia ni wazazi wako , wazazi wako hawako tayari kuona unapata yotehayo na ndiyo maana unaona wanapambana kwa hali yoyote ili tu usipate shida zozote
Note
Kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa mungu ni kutoshughurisha akili yako

Wewe sio bure bali ni kutokana na akili zako kuwa mbili (2), ungekuwa na akili nyingi (zaidi ya 2) bila shaka ungalijua Mungu ni nini au nani. Pole sana.
 
Mungu gani huyo akulaze hospital mda wote huo harafu umshukuru? Hivi sisi binadamu akili zetu tumeshikiwa na nani? Yani mtu aponywe na madkatari harafu umshukuru mtu ambaye hata hayupo bali ni story tu za kusadikika tuache ujinga sasa

Mie kila day nasema hakuna kitu kinaitwa mungu wala shetani wala yesu sijui bali ni story za kusadikika tu hakuna kitu kama hicho
Watu wa kuwashukuru sana ni wazazi wako basi na siyo sijui kitu kinaitwa mungu ,
Hivi fikiria kwa akili za kawaida huyo mungu angekuwa na huruma angekuacha upate msoto, angekuacha ufe, angekuacha upate ajari , upate njaa, angekubali majanga ya dunia hii bali vyote hivyo anayeweza kukusaidia ni wazazi wako , wazazi wako hawako tayari kuona unapata yotehayo na ndiyo maana unaona wanapambana kwa hali yoyote ili tu usipate shida zozote
Note
Kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa mungu ni kutoshughurisha akili yako
Baba asipotoa mahitaji au kuhudumia watoto wake, inaonekana hana upendo. Watoto wakiwa kwenye wakati mgumu alaf mzazi ukawaacha tu bila kuwasaidia, jamii itakuona katili na huna upendo.

Ila tunaambiwa Mungu anaupendo wa hali ya juu kwetu, pia ana wivu sana hataki tuabudu vitu vingine, ila pamoja na huo upendo wake, hata uwe deep in trouble ukihitaji msaada wake hawezi kuja immediately, utaambiwa anajibu kwa wakati wake.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
utaambiwa anajibu kwa wakati wake.

Yeye anajua ni muda gani ni muafaka kukujibu au kutoa msaada, kumbuka yeye anatujua undani wetu na shida zetu zaidi kuliko jinsi sisi tunavyojua.
 
Pata picha unahitaji ada ya shule leo, alaf mzee wako anakwambia atakupa kwa muda muhafaka, ila miaka inakata tu na haoneshi dalili za kukupa, utamchukulia vipi?

Back
Top Bottom