Unapajua hapa?

Na hapa wapi?

i524_maxencemeloalbumstanzaniapicture504kanisalamuganalililopomkoanikagera.jpg

Hapo ni RC moshi liko maeneo ya njia panda ya weruweru kwa chini.
 
Hiyo picha yenye mawe, ni mwanza kapripoint, ukiwa hotel tilapia unatazamana na hizo nyumba
 
Du nchi hii in maeneo mazuri wakuu...basi tu! Nimeipenda sana hiyo picha ya porini.....LCruiser inapita chini...katikati ya mti! I like that...!
 
Ni Capri point umepigia picha kutokea kwenye feri au MV victoria...ukitokea Bukoba au Sengerema
 
Na hapa wapi tena? au jengo gani?
attachment.php
 

Attachments

  • Image012.jpg
    Image012.jpg
    94.7 KB · Views: 186
Na hapa wapi tena? au jengo gani?
attachment.php
Mkuu kama sikosei hapa ni kigali kanisa katoliki Kimironko umepiga picha kwa nyumba..this days wamejenga jingine...ndio hilo linalo onekana kwa pembeni hapo.
 
Mkuu kama sikosei hapa ni kigali kanisa katoliki Kimironko umepiga picha kwa nyumba..this days wamejenga jingine...ndio hilo linalo onekana kwa pembeni hapo.<!-- google_ad_section_end -->
Umekosa kabisa. Kwa kuwasaidia, jengo hili liko mojawapo ya mikoa ya Nyanda za juu Kusini.
 
Back
Top Bottom