Unaoshewa gari na Mauno unakatiwa

Unaoshewa gari na Mauno unakatiwa

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1396713864.643685.jpghii ni sehemu ya kuoshea magari unajuwa ilipo?
 
Sitashangaa kuiona bongo kesho, huwa tunaiga tu.. Ndo uzuri wetu.
 
Sitashangaa kuiona bongo kesho, huwa tunaiga tu.. Ndo uzuri wetu.

PM wetu naye aige kama mwenzie wa ubelgiji alivosema..ndo maendeleo hayo jamani tuchangamkie fursa hizi
 
ukosef wa ajira tz ndo unasababsha vijana weng kufanya shughul zczo rasm ilmrad wajkm na familia zao kwa chochote k2,hii yote nahs inasababshwa na ubov wa serkal ye2 iliyojaa majangrrr na mafsad yasiyo na huruma na bibi ang alie kjijin sima aktseka na mwisho kumuhonga dot 1 ya kanga,.dah nahs kutokwa machoz aixxx,.kudadadek dawa yen ipo 2015,.
 
Hao wanawake mbona mabaunsa hivo?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Aisee lipande janakike kwenye 4 x 4 yangu patachimbika! Huu uzungu uwe na mipaka sasa!
 
Aliebuni ubunifu huu naisi unamlipa sana
 
hata aliyepeleka gari na kufanyiwa hayo ni -------- sana wala hajijali kabisa.... mtu na familia yako unafanyiwa hayo kwenye gari lako kweli............
na huyo mdada ni hewa sana na thamani yake iko chini kama shimo la choo
 
Back
Top Bottom