BIN BOR JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,013 Reaction score 407 Feb 1, 2011 #1 Mi naona chupa 2 tu za heineken zimegeuzwa bottoms up.
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,822 Reaction score 1,432 Feb 2, 2011 #2 hahaDah classic optical illusion.cant mention what i see.
M Mchekechoni JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 275 Reaction score 19 Feb 2, 2011 #3 BIN BOR said: Mi naona chupa 2 tu za heineken zimegeuzwa bottoms up. Click to expand... naona ufito wa mlozi, Mubarak anaitosa Masri, kakakuöna anachagua mchele hivyo hakutakuwa na njaa, JK anaitafuta shuka tayari kumekucha, na wewe umesimama kama umekaa, teh teh!
BIN BOR said: Mi naona chupa 2 tu za heineken zimegeuzwa bottoms up. Click to expand... naona ufito wa mlozi, Mubarak anaitosa Masri, kakakuöna anachagua mchele hivyo hakutakuwa na njaa, JK anaitafuta shuka tayari kumekucha, na wewe umesimama kama umekaa, teh teh!
Kaka Sam JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 540 Reaction score 80 Feb 2, 2011 #4 inategemeana kwa mda huo unawaza nini wakati unaangalia. kwan we uliwaza nini ukaamua kupost hii mambo
inategemeana kwa mda huo unawaza nini wakati unaangalia. kwan we uliwaza nini ukaamua kupost hii mambo
kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Feb 2, 2011 #5 hapo sasa ni kweli inaendana na kichwa kinawaza nini kwa muda huo hata katabia pia! D5 said: inategemeana kwa mda huo unawaza nini wakati unaangalia. kwan we uliwaza nini ukaamua kupost hii mambo Click to expand...
hapo sasa ni kweli inaendana na kichwa kinawaza nini kwa muda huo hata katabia pia! D5 said: inategemeana kwa mda huo unawaza nini wakati unaangalia. kwan we uliwaza nini ukaamua kupost hii mambo Click to expand...
makandokando JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 299 Reaction score 21 Feb 2, 2011 #7 naona vitu vitatu, kama vile mtu anata buttocks za kijani, pia naona chupa za heineken upside down, tatu naona mubarak na misri
naona vitu vitatu, kama vile mtu anata buttocks za kijani, pia naona chupa za heineken upside down, tatu naona mubarak na misri