Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

Mimi naonaga mwanamke kapakata mtoto anamwangalia...ni tangu utotoni
Wengi tulikuwa, tuliaminishwa na sasa tunaendelea kuamini na kuona kuna mwanamke amebeba mtoto kama unavyoona wewe.
 
Back
Top Bottom