Unaona nini katika hii picha?

Unaona nini katika hii picha?

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
681
Reaction score
2,293
Habari wakuu naomba mnisaidie wewe unaona nini kwenye hii picha?

Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.

Ufunuo 13:18

FB_IMG_1690539713071.jpg
 
Habari wakuu naomba mnisaidie wewe unaona nini kwenye hii pacha?????

Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.

Ufunuo 13:18

Sio kila kitu mnakikimbiza kwenye 666 m,Tuacheni tupunue kwanza jamani.Sasa ulitegemea hiyo M Iwekwe bila madoido,haitapendeza kabisaa hapo kwa logo.
 
Ni Moja ya freemason charter. Iko siku mchezaji wa timu ya nanii.. atafia uwanjani.
 
Mtakuja mfe siku sio zenu khaa🤣🤣🤣,, ila naona kama ni nyoka hiyo 666 sijaiona mimi🤨🤨
 
NAWAKUBALI SANA WASABATO WANACHIMBA SANA

SIO KAMA MAAMUMA WAO KAZI YA KUKEMEA KULA NGURUWE NDO WANACHOJUA
Wasabato hawajui maandiko, wao ni wafungwa wa angano la kale kama wayahudi na waislamu
 
Back
Top Bottom