Kizimbuzi
Makabila kama wachagga si ya kuolewa na wanaume wasiohitaji "mitaro" na "magogo" makabila kama wachagga si ya kuoa mwanamke ambaye hayupo tayari kuwa mjane at 30 kisa mumewe kachomwa kisu katika ugonvi wa kugombania elfu tanomakabila kama wachagga si wa kuoa na kuolewa na watu intelligent ambao tafsiri ya kufanikiwa kimaisha sio "how much money you have made" but "what kind of family you have raised"
Makabila kama wachagga sio ya kuoa na kuolewa na watu wasiopenda mashindano kiasi cha kula bamia mwaka mzima ili udundulize ili mwezi wa kumi na mbili ukatese moshmakabila kama wachagga sio ya kuoa na kuolewa na watu wanaojali family values, ambao baba, watoto na mama watakaa pamoja at least mara 3 kwa week na kujadili family issueskama hutaki kulala watatu kitandani (wewe, mwanandoa na calculator) bac usioe wala kuolewa na mchagga..etc etc etc

Last edited by a moderator: