View attachment 3404149Hata kama umepanga nyumba, sio kisingizio cha kushindwa kua na ka-portable garden kako, kwa kutumia chupa za maji Tu, unaweza ukaanzisha bustani yako ya mbogamboga na ukawa hununui mboga
Siku jaribu changanya mboga za majani hata tatu kwa wakati mmoja!!Mno hasa mchicha wa kienyeji
Labda wabadilishe biasharaKwa hiyo wakulima wa mboga watapata wapi pesa??
Zinakua tamu?Siku jaribu changanya mboga za majani hata tatu kwa wakati mmoja!!
Acha dharau, Kuna watu ni matajiri, waajiriwa wenye kipato kuzuri tu, ila wanaamua kujitengenea bustani zao za mboga mboga kama sehemu ya ziada baada ya kazi zao.Kama huna kazi za maana za kufanya ndio inabidi uanze kufikiria hivi.
Sana!Zinakua tamu?
Nitakupa mrejeshoSana!
Hii kitu kweli inakua testa?Siku jaribu changanya mboga za majani hata tatu kwa wakati mmoja!!
Poa NasubiriNitakupa mrejesho
Ni nzuri Sana!Hii kitu kweli inakua testa?
Hofu yako tuHii nzuri sana,kuliko kwenda kununua zenye madawa makalimakali,tunajimaliza.
View attachment 3404149Hata kama umepanga nyumba, sio kisingizio cha kushindwa kua na ka-portable garden kako, kwa kutumia chupa za maji Tu, unaweza ukaanzisha bustani yako ya mbogamboga na ukawa hununui mboga
Kwa hiyo hizo ndio utachuma kmaea tatu kwa wiki? Zinatosha?View attachment 3404149Hata kama umepanga nyumba, sio kisingizio cha kushindwa kua na ka-portable garden kako, kwa kutumia chupa za maji Tu, unaweza ukaanzisha bustani yako ya mbogamboga na ukawa hununui mboga
Makabwela tunaishi kwa hofu sana.Hii nzuri sana,kuliko kwenda kununua zenye madawa makalimakali,tunajimaliza.
Hao wa five stars bima zao siyo kama hizi ambazo zipo huku,nacwengine hatuna boma za afya kabisa,tahadhari ni muhimu sana,lazima tuishi kwa hofu,maana vile tunavyoweza kuviepuka tusipoviepuka au kuonyesha juhudi za kuviepuka,tukipata madhara,TUNAKUFA kirahisi sana.Makabwela tunaishi kwa hofu sana.
Yaani Kuku ambao wanakula Five Stars Hotel duniani kote Mswahili ambaye hata kula kwake milo miwili ni tabu anakwambia Hao kuku wana Sumu