Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
unanivuruga unapopigiwa simu hupokei
unanivuruga unaponitangazia mimi kicheche kisa ni hendisamu
...unapo achia ushuzi kwenye kadamnas kama hapa jukwaani
....unapomuita demu wangu kicheche kisa ni mzuri zaidi ya wako
...ninavurugwa...
Ninavurugwa.....
kontinyu!!!!!