Unaniboa sana

Wanaume wananiboa wanaojifanya wana hela ya kukesha bar wakat hawajui hata kuhonga na wanataka mademu wazuri...
 
Tena bora umekuja unaboa kinoma.. tangu mwaka jana hujanihonga adi leo sijui unataka mtoto wa kike niishije acha izo

We mwanamke unaependa kuliwa 0713 unaboa kinoma
 
Nyie wanaume mnaopenda 0713 mnaboa sana
 
Nyie wanaume mnaotoa ahadi zaidi ya miaka miwili haitekelezwi mnaniboa sana.
 

Bezikale hao ni watoto
 
Mtoto wa kiume unajichubua uwe mweupe unatia kichefuchefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…