Unaniboa sana

πŸ˜€ mbona naww ume comment kama ni ya kimbea
 
Sijakomenti umbea sio vizuri mwanaume kufanya kazi ya kike nlitegemea huu upaso uwe kwa hawa wadada sio mwanaume kujiingiza kweny kazi za kike
 
aliepost ni mwanaume mwenzetu kwanin tusimpe support inamaana humu ndani tuwe tunachagua post za kuchangia,siwezagi ubaguzi
 
Sijakomenti umbea sio vizuri mwanaume kufanya kazi ya kike nlitegemea huu upaso uwe kwa hawa wadada sio mwanaume kujiingiza kweny kazi za kike

Kwani mkuu kuna kinachokugusa hapo? Mbona kama umechukia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…