Unamwambia nini huyu Mfurukutwa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12507097_1668291933425857_5700860945320355809_n.jpg
 
Hapa umenilazimisha ku Log out.... hawa jamaa kwangu ni sawa na sumu ya nyoka
 
Ukimtazama kwa makini utagundua kwamba ni Mhamiaji haramu kwa hiyo ana seek camouflage kupitia kujifanya yeye ni ccm saana kuliko hata nape. Wengi waliojaa huko kama si mambumbumbu basi ni kwa ajili ya kuficha maovu hawana lolote
 
Back
Top Bottom