Unamtwangaje mumeo shoka la kichwa kisa amekusaliti?

Muishi katika viapo na makubaliano yenu

Ukisaliti hujui reaction ya mwenzio

Tena kimbia.mbaaaaliiiii umsome.kwa mbali

Sio kila mtu analia au anasamehe!!!
 
Ndo muwe mnaoa wanawake ambao wamegusa hata form four,hawa wengine huwa wakipata bwana hawajui kuwa kuna kuachana.Chunguza matukio yote utagundua wanaohusika hawana elimu yoyote,maana elimu siyo kupata kaz tu elimu ni kuelimika pia ili uweze kuishi na jamii
You're very intelligent
 
Mbona Neema Mushi ana degree ya psychology na bado akamtia mtu kiberiti?
 
Nadhani level ya Unyama aliofikia Mwanamke kwa sasa inatisha, hasa wakibongo.

Hivi suala la kufumania ndiyo hukumu yake iwe kuua tena kwa kumkata shoka Mumeo?

Mambo haya kama hatua stahiki hazitachukuliwa litaleta madhara makubwa siku za usoni. Vijana wataogopa kuoa kabisa kwa kuogopa vifo vya namna hiyo

Liverpool VPN
 
Kama wanashindwa kujizuia kuchepuka na wasioe
 
Wanawake wanapewa mibichwa kiasi kwamba wanazidi kufanya mambo ya ajabu. Shetani anaharibu dunia kwa kupitia mwanamke kama ilivyo kwa adamu
 
Ndo muwe mnaoa wanawake ambao wamegusa hata form four,hawa wengine huwa wakipata bwana hawajui kuwa kuna kuachana.Chunguza matukio yote utagundua wanaohusika hawana elimu yoyote,maana elimu siyo kupata kaz tu elimu ni kuelimika pia ili uweze kuishi na jamii
To yeye weweee..
 
Back
Top Bottom