hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 2,812
- 5,605
- Thread starter
- #41
We mla mashonde umetokea wapi.Ahahaaaaaaaaaaah...
Mimi naona MAKAFIR tu hapo..!
Ambao kwa imani ya dini yako ni watu wasio na akili..!
Haya ndo madhara ya kunywa divai na mashonde kanisani.
Hivi unafahamu kwenye hiyo list kuna mpaka ma atheists
Halafu mbona unalazimisha sana dini iumane na sayansi?
My friend kati ya unaowaona hapo hakuna hata mmoja aliyetumia biblia kufanya gunduzi zake.