Unamtambua mwanafizikia yupi kati ya hawa?

Ili uwe mwanafizikia unatakiwa ukidhi vigezo gani?
Viko vingi Mkuu...ila muhimu ni education qualifications...au uvumbuvi( logical and systematic invention) Mpemba ni MTU wa Mali asili by profession na huo uvumbuzi sio kesi tena mana ushapata jibu
 
Halafu mbona unalazimisha sana dini iumane na sayansi?
Mimi siko hapa kulazimisha Dini na Sayansi viumane...
Niko hapa kukuprove wrong kwa kauli yako uliyoitoa kwenye hiyo picha chini..!
"toka lini nyie makafiri mkawa na akili"
jf.jpg
 
Asante umeitafuta na hatimaye kuiipata maana ya kafiri.

Kwa mujibu wa hiyo maana wewe na hao uliowataja mnastahili kuitwa makafiri au hamstahili bila ya kujali umefanya gunduzi ngapi.
Ahahahaaaaaaaah...
Mimi siko hapa kulikataa hilo jina la Kafir...
Mnaweza kutuita sisi tusioamini katika Uislamu jina lolote ambalo mtaona linatufaa,it is non of our business..!
Mimi niko hapa kukubishia wewe Muislamu kwa kitendo chako cha kusema kwamba Makafir hawana akili kulinganisha na nyie Waislamu..!
 
Viko vingi Mkuu...ila muhimu ni education qualifications...au uvumbuvi( logical and systematic invention) Mpemba ni MTU wa Mali asili by profession na huo uvumbuzi sio kesi tena mana ushapata jibu
Kwani The mpemba effect ilikua invented na nani?

Na si lazima katika sayansi ukifanya invention uwe na majibu yote ya ulichogundua.

Hata founder wa miale x(x-rays) mwanzo kabisa hakuelewa origin yake mpaka baadae wanasayansi wengine walipokuja kuelezea.

Je kigezo iko kinatosha kumdisqualify kuwa inventor wa x-rays?
 
Ahahahaaaaaaaah...
Mimi siko hapa kulikataa hilo jina la Kafir...
Mnaweza kutuita sisi tusioamini katika Uislamu jina lolote ambalo mtaona linatufaa,it is non of our business..!
Mimi niko hapa kukubishia wewe Muislamu kwa kitendo chako cha kusema kwamba Makafir hawana akili kulinganisha na nyie Waislamu..!
Sasa ndugu yangu muabudu sanamu akili anaitolea wapi.

Yaani wewe kitu ukichonge mwenyewe halafu ukiabudu kisha ujione una akili.

Yani nyie watu bure kabisa
 
Kwani The mpemba effect ilikua invented na nani?

Na si lazima katika sayansi ukifanya invention uwe na majibu yote ya ulichogundua.

Hata founder wa miale x(x-rays) mwanzo kabisa hakuelewa origin yake mpaka baadae wanasayansi wengine walipokuja kuelezea.

Je kigezo iko kinatosha kumdisqualify kuwa inventor wa x-rays?
Mpemba alikua muuza achikirimu Mzee ...akawa anatia maji ya moto kwenye friji iliyawahi kuganda akasahau kua anasababisha mvuke so maji yakawa kias kidogo....hapo ndio awe mwanafizikia
 
Sasa ndugu yangu muabudu sanamu akili anaitolea wapi.

Yaani wewe kitu ukichonge mwenyewe halafu ukiabudu kisha ujione una akili.

Yani nyie watu bure kabisa
Ahahaaaaaaah...
Nadhani hapa unawazungumzia Wakatoliki...
Hii haitoshi kuwa kipimo cha mtu asiye na akili..!
Galileo alikua ni Mkatoliki..!
Kwahiyo unataka kuniambia Galileo alikua hana akili..?
Alessandro Volta alikua Mkatoliki pia...
Unataka kuniambia wewe Muislamu wa JF una akili kuliko Volta..?
 
Back
Top Bottom