Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,202
- 1,077,346
Marie Curie - mwanamke wa kwanza kupata PhD ya Fizikia katika chuo kikuu cha Sorbonne Ufaransa. Mwanamke wa kwanza kuwa profesa wa Fizikia Sorbonne. Mwanamke wa kwanza kushinda zawadi ya Nobel mara mbili - katika Fizikia (na mumewe Pierre) na baadaye katika Kemia. Mwanamke wa kwanza kugundua elementi mbili mpya....
Niels Bohr - gwiji la Fizikia kutoka Sweden lililoweka misingi ya nguvu za mnunurisho...
Max Planck - Quanta.....
Einstein = Jiniazi la milenia ambalo liliushangaza ulimwengu mwaka 1905 kwa kuchapisha makala tatu zilizobadilisha kabisa mwelekeo wa Fizikia na kupindua utawala wa Sir Isack Newtown katika Fizikia...
Hili linatajwa kuwa ndilo kongamano lililojumuisha watu wenye akili kuliko kongamano lolote ambalo limeshawahi kutokea katika Fizikia na sayansi kwa ujumla !!!